Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

Nyie wa mjini mnateseka hivo je sisi tuliopo Nala na bahi tufike wapi? Tunaishi kama kenge
 
Wakati mwingine najiuliza hawa viongozi wanajua kweli kutengeneza priorities za Makao Makuu mapya ya Nchi!!!? Imagine pale nane nane wamezungusha bati wajenge uwanja wa Mpira Badala ya hiyo hela wangetumia kuvuta maji ya ziwa Victoria kutoka Tabora Mpaka Dodoma!! Jamaa wanawaza kama chawa wao tu!! Haya bara bara hii ya kutoka Dom mjini mpaka chamwino Ikulu ishakuwa na jam ya kufa mtu, sasa Badala watengeneze barabara ya njia nne kupunguza foleni wao wanajenga uwanja utadhani huo uwanja ndo utapitisha wagonjwa haraka kwenda Mkapa hospital. Hawa viongozi wamefikia ukomo wa kufikiri ndo maana wameanza kutusi na Katiba.
 
Tuko makao makuu lkn maisha yetu twaishi kama NGAMIA nchi ngumu sana hii.
 
Nipo Hapa Kwenye Hili Jiji Linaloitwa Dodoma Mtaa Wa Kisasa (Nyumba 300), Kuna Shida Ya Maji Hadi Unajiuliza Kweli Hapa Ndio Makao Makuu Ya Nchi?

Wananchi Wa Hapa Hupata Maji Sometimes Mara Moja Kwa Wiki Ama Inaweza Ikatokea Yasitoke Kabisa Ndani Ya Wiki Nzima Mfano Kwa Muda Huu Ni Almost Wiki Mbili Maji Hayajatoka Na Ni Hapa Hapa Mjini.

Je, Huko kwingine hali Ikoje, Wahusika Tunaomba Msaada Kwenye Hili Wawasaidie Wakazi Wa Dodoma Kwenye Suala La Maji.
haitakuja iishe hadi ccm itoke madarakani.
 
Njoo Chang’ombe kwa walała hoi huku Maji daily ila ni kwa masaa kadhaa kwa siku
 
Back
Top Bottom