Dom na maji inabidi wakae wamalize tofauti zao.Nipo Hapa Kwenye Hili Jiji Linaloitwa Dodoma Mtaa Wa Kisasa (Nyumba 300), Kuna Shida Ya Maji Hadi Unajiuliza Kweli Hapa Ndio Makao Makuu Ya Nchi?
Wananchi Wa Hapa Hupata Maji Sometimes Mara Moja Kwa Wiki Ama Inaweza Ikatokea Yasitoke Kabisa Ndani Ya Wiki Nzima Mfano Kwa Muda Huu Ni Almost Wiki Mbili Maji Hayajatoka Na Ni Hapa Hapa Mjini.
Je Huko Kwingine Hali Ikoje, Wahusika Tunaomba Msaada Kwenye Hili Wawasaidie Wakazi Wa Dodoma Kwenye Suala La Maji.
Sio chamwino TU. Hilo ni janga la Tanzania nzimaMaji dodoma ni changamoto ya muda mrefu sana
Upo Nkuhungu sehemu gani!?!Huku Nkuhungu huwa yànatoka Mara mbili kwa wiki.... Hatujawahi kukosa maji inapofika siku yetu ya maji kutoka.....
Hapa nilipo hatujawahi kukosa maji siku ya zamu yetu kutoka maji. Haijawahi kutokea. Pole Sana kwa huko ulipo.Upo Nkuhungu sehemu gani!?!
Kuna kipindi mitaa ya Nkuhungu ilikuwa inakosa maji hata wiki.
Ila Kwa Dodoma YamezidiSio chamwino TU. Hilo ni janga la Tanzania nzima
Hongereni sana, japo sisemei kwa miaka hii ya karibuni.Hapa nilipo hatujawahi kukosa maji siku ya zamu yetu kutoka maji. Haijawahi kutokea. Pole Sana kwa huko ulipo.
Kuna sehem kuna unafuuSio chamwino TU. Hilo ni janga la Tanzania nzima
Kwa kweli hali ni mbaya sanaTo be specific kule nyumba 300 hata hayo masaa hawajui.. watu wamejaza madumu ndani kama wauza maji ikitokea yametoka tu ni wanasombelea ndani kama hayatatoka mwaka mzima imagine
Rais anawapa watu wa ndondo mil.92 duuNipo Hapa Kwenye Hili Jiji Linaloitwa Dodoma Mtaa Wa Kisasa (Nyumba 300), Kuna Shida Ya Maji Hadi Unajiuliza Kweli Hapa Ndio Makao Makuu Ya Nchi?
Wananchi Wa Hapa Hupata Maji Sometimes Mara Moja Kwa Wiki Ama Inaweza Ikatokea Yasitoke Kabisa Ndani Ya Wiki Nzima Mfano Kwa Muda Huu Ni Almost Wiki Mbili Maji Hayajatoka Na Ni Hapa Hapa Mjini.
Je Huko Kwingine Hali Ikoje, Wahusika Tunaomba Msaada Kwenye Hili Wawasaidie Wakazi Wa Dodoma Kwenye Suala La Maji.
Kumbe wewe ni jirani yanguHuku Nkuhungu huwa yànatoka Mara mbili kwa wiki.... Hatujawahi kukosa maji inapofika siku yetu ya maji kutoka.....



Chadema which?Ukitaka maji yapatikane Dodoma 24/7 iondoe ccm madarakani kwa kuichagua chadema.
Mkiwa vijiweni mnamsifu anaupiga mwingi kumbe hata kuoga hamuogi.
Unazungumzia miaka gani jombaa? Nipo hapa more than 7 years.... Ratiba ipo constant.... Hatujawahi kukosa maji siku ya ratiba ya maji kutakiwa kutoka.Hongereni sana, japo sisemei kwa miaka hii ya karibuni.
Na dom ndio hakuna hata vyanzo vya maji kama chemchem n.kSure... hata shinyanga pana uafadhali