Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

Mmi kinacho niumiza kwanini wana tumia vitabu vya dini kuapia ilihali wanaitia najis nchi yetu .... yani ni sawa sawa na kumwapisha mwizi
Tanzania si nchi ya kuishi kabisa.

Kwa mtu mwenye uelewa na anaye jitambua.

Wajinga ni wengi sana nchini.

Tulipo sasa wenzetu walisha pita zamani sana.

Afrika kwa ujumla inaishi miaka 100 nyuma ya ulimwengu ulipo
 
Nipo Hapa Kwenye Hili Jiji Linaloitwa Dodoma Mtaa Wa Kisasa (Nyumba 300), Kuna Shida Ya Maji Hadi Unajiuliza Kweli Hapa Ndio Makao Makuu Ya Nchi?

Wananchi Wa Hapa Hupata Maji Sometimes Mara Moja Kwa Wiki Ama Inaweza Ikatokea Yasitoke Kabisa Ndani Ya Wiki Nzima Mfano Kwa Muda Huu Ni Almost Wiki Mbili Maji Hayajatoka Na Ni Hapa Hapa Mjini.

Je Huko Kwingine Hali Ikoje, Wahusika Tunaomba Msaada Kwenye Hili Wawasaidie Wakazi Wa Dodoma Kwenye Suala La Maji.
Tulisha waambia dodoma ni jangwa hamtaki kuelewa. Huko hata uchimbe kisima mita 80 maji yatapotea tu..
 
Chidach kidoogo afadhali tunapata maji mara 2 kwa wiki, siku ya jpili na jtatu tuuu.
 
Nipo Hapa Kwenye Hili Jiji Linaloitwa Dodoma Mtaa Wa Kisasa (Nyumba 300), Kuna Shida Ya Maji Hadi Unajiuliza Kweli Hapa Ndio Makao Makuu Ya Nchi?

Wananchi Wa Hapa Hupata Maji Sometimes Mara Moja Kwa Wiki Ama Inaweza Ikatokea Yasitoke Kabisa Ndani Ya Wiki Nzima Mfano Kwa Muda Huu Ni Almost Wiki Mbili Maji Hayajatoka Na Ni Hapa Hapa Mjini.

Je Huko Kwingine Hali Ikoje, Wahusika Tunaomba Msaada Kwenye Hili Wawasaidie Wakazi Wa Dodoma Kwenye Suala La Maji.
Kuwa na subira WAARABU wanakuja....
 
Na CCM walifanya siasa za visima nzuguni na kuahidi mwezi na 8 tabu imeisha lkn mpaka leo tank tupu bado ndio nimeelewa kwa wengine wanarudisha kadi
KATIBA NKITABU YAKHE!
 
Ila Kwa Dodoma Yamezidi

Nikichukulia mfano Kimara maji yanatoka almost 24/7 na kama kuna shida wanatangaza kabisa kutakua na mgao siku flan ila most of the times hata uamke saa nane unayakuta
Ndio hivyo ndugu yangu Wacha tuisome namba
 
Dodoma wanategemea source moja tu ya maji. Maji ya chini ya ardhini. Na DUWASA wanachukua maju kule Makutupora well field, kuna visima vingi sana, na vina maji. Tatizo ni DUWASA hawataki kuextend miundo mbinu yao.

Wanakaa wanasubiria iyo project ya kutoa maji L. Victoria ilete hadi Dom.
 
Kumbe wewe ni jirani yangu

Mimi sijui shida ya maji , ninapoishi tuna karo la maji huwa tunategeshea mpira siku ya maji kutoka yaingia karoni, then tunabaki kutumia tu.
Mpambanaji mwenazangu hivi maeneo gani hapa dodoma kuna unafuu kidogo ya upatikanaji wa maji??
 
Back
Top Bottom