Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

Shida ya maji Dodoma itaisha lini?

Unazungumzia miaka gani jombaa? Nipo hapa more than 7 years.... Ratiba ipo constant.... Hatujawahi kukosa maji siku ya ratiba ya maji kutakiwa kutoka.

Unazungumzia miaka gani jombaa? Nipo hapa more than 7 years.... Ratiba ipo constant.... Hatujawahi kukosa maji siku ya ratiba ya maji kutakiwa kutoka.
2010 mpaka 2012 kuna muda maji yalikuwa yanatoka kinyonge sana. Ratiba ilikuwepo lakini kuna muda muda watu tulikuwa tunapishana kitaa kutafuta maji. Unakuta mtaa huu hakuna kabisa, ila kuna mahali yanatoka kidogokidogo basi watu ni kubebelea madumu tu kama animation ya Rango.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Nipo Hapa Kwenye Hili Jiji Linaloitwa Dodoma Mtaa Wa Kisasa (Nyumba 300), Kuna Shida Ya Maji Hadi Unajiuliza Kweli Hapa Ndio Makao Makuu Ya Nchi?

Wananchi Wa Hapa Hupata Maji Sometimes Mara Moja Kwa Wiki Ama Inaweza Ikatokea Yasitoke Kabisa Ndani Ya Wiki Nzima Mfano Kwa Muda Huu Ni Almost Wiki Mbili Maji Hayajatoka Na Ni Hapa Hapa Mjini.

Je Huko Kwingine Hali Ikoje, Wahusika Tunaomba Msaada Kwenye Hili Wawasaidie Wakazi Wa Dodoma Kwenye Suala La Maji.
Msigwa, Msemaji wa Serikali, ameandika kwenye Twitter

Kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. @samia_suluhu_hassan nimekabidhi zawadi za Washindi wa Michuano ya Ndondo Cup 2023.

Mheshimiwa Rais ametoa jumla ya shilingi Milioni 92 alizoahidi ambapo Mshindi wa Kwanza amepata jumla ya shilingi Milioni 30,000! na Mshindi wa pili amepata jumla ya shilingi Milioni 20.

Timu 32 zilizocheza makundi kila moja imepata shilingi laki 5, timu zilizoingia 16 bora zimepata kila moja shilingi Milioni 1.5, zilizoingia robo fainali zimepata shilingi Milioni 2 na nusu fainali zimepata Milioni 2.5.

Asante Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujali michezo madaraja yote.
 
Tanzania nzima hakuna mji wowote ambao mitaayote maji yanatoka 24/7 mwakamzima .Dodoma hakuna shida ya maji bali kuna mgao wa maji.
Baadhi ya mitaa mfano Makulu,Mkalama maji yanatoka kilasiku kutokana na jiografia ya kule juu(wapo karibu na tanki la maji mlimani).
Mitaa mingine kama Chang'ombe,Nkuhungu,Ndachi maji yanatoka maratatu kwa wiki.Mitaa mingine yanatoka marambili kwa wiki
Tunajua kama kuna mgao na ratiba ya nzuguni kwa wiki ni mara mbili Jumatano na jumapili sasa wiki inaisha bila maji
 
Hivi kuna watu bado huwa wanasikiliza na kuamini CCM watatimiza ahadi?Hizo akili za kutatua changamoto wazitoe wapi?
Na wewe umekaa kabisa kuamin utaletewa maji na chama chako? Mim ni bawachaaq ila siamin kama wataleta maji huo uongo.
Huenda kuna shida ya kiufundi
 
Majibu anayo mtaalam Lucas mwashambwa

Ova
Wawe na subira serikali ipo kazini muda wote na kilio cha kila mtu kinasikika masikioni mwa serikali yetu ya mh Rais wetu jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,chuma cha Reli,mama wa shoka mh mama samia suluhu Hasssan. Mikono ya mama itamfikia kila mtu popote pale alipo pasipo kumruka mtu.serikali ya Rais samia ipo kwa ajili ya kuwafuta watu machozi,kuwatua watu mizigo ya kero na kuwapatia matumaini ya maisha yao ya kila siku. Imejidhatiti kuhakikisha kila uchwao maisha ya mtanzania yanakuwa bora sana .
 
2010 mpaka 2012 kuna muda maji yalikuwa yanatoka kinyonge sana. Ratiba ilikuwepo lakini kuna muda muda watu tulikuwa tunapishana kitaa kutafuta maji. Unakuta mtaa huu hakuna kabisa, ila kuna mahali yanatoka kidogokidogo basi watu ni kubebelea madumu tu kama animation ya Rango.
Poleni sana pande za huko.... Huku tunapata maji kwa mgao wa siku mbili kwa wiki... Maji yànatoka ya kutosha kwa siku hizo.
 
Tanzania nzima hakuna mji wowote ambao mitaayote maji yanatoka 24/7 mwakamzima .Dodoma hakuna shida ya maji bali kuna mgao wa maji.
Baadhi ya mitaa mfano Makulu,Mkalama maji yanatoka kilasiku kutokana na jiografia ya kule juu(wapo karibu na tanki la maji mlimani).
Mitaa mingine kama Chang'ombe,Nkuhungu,Ndachi maji yanatoka maratatu kwa wiki.Mitaa mingine yanatoka marambili kwa wiki
Makulu maji mara mbili kwa wiki...
 
Uafrika hasa utanzania ni laana.

Ina abundance of water sources, Fools are always thirsty.

Waafrika wana upumbavu wa milele.
 
Uafrika hasa utanzania ni laana.

Ina abundance of water sources, Fools are always thirsty.

Waafrika wana upumbavu wa milele.
Mmi kinacho niumiza kwanini wana tumia vitabu vya dini kuapia ilihali wanaitia najis nchi yetu .... yani ni sawa sawa na kumwapisha mwizi
 
Watu inabidi watembee kwenda site kama hizo kufata maji
 
Back
Top Bottom