People's Power ni kauli mbiu ya TANU iliyoigizwa na CHADEMA - Mh. SHIBUDA.MH. JOHN SHIBUDA AONGEA (MichuziBlog) - YouTube
Mmemsikiliza lakini alivyosema au ndio kila asemalo ni baya? kwa kuwa tu ni Msukuma?
Hatma yake iko 2015, pale itakapobidi awafuate mabwana zake huko waliko. Awe na bahati kama hajakuta talaka yake mezani.
Kauli anazoendelea kuzitoa John Shibuda mbunge wa Maswa dhidi ya Chadema na kuendea kwa Chama kumkumbatia ndani ya chama ni dalili tosha kuwa Shibuda ni mtaji na Chadema imewekeza kwa Mwanachama wake huyo.
Huyu jamaa dawa yake afanyiwe Umafia. Apotezwe kwenye ramani ya dunia kabsa.
Kwa jinsi ninavyomjua shibuda alivyo connected na watu wa maswa hata akisimama kwa tiketi ya tpp maendeleo atashinda tu,si mliona alivyoibwaga ccm licha ya fitna za makamba na kutupwa ndani kwa kesi ya kutungwa ya mauaji?kule hawachagui chama wanachagua mtu wao