SHIBUDA: People's Power ni Kauli Mbiu ya TANU

Ukweli ni kwamba Shibuda hakuchaguliwa na wafuasi wa CDM...alichaguliwa na wana Maswa wanaomkubali Shibuda kama Shibuda na sio Shibuda wa Chama fulani cha siasa...Shibuda hata akitoka CDM leo bado wana Maswa watamchagua tu...
 
Shibuda kiboko ya magwanda, pesa wanazitaka na mbunge wanamtaka na viti maalum wanavitaka.

Mchagga kwa pesa hata umtukane, mradi kuna mshiko hakuwachi.
 
Mwambieni hata hilo jina lake"SHIBUDA",kuna wazee wake waliyoiona hii dunia kabla yake huko maswa wakilitumia,na leo hii ni marehemu na bado kuna watoto watazaliwa na wataendelea kulitumia jina hilohilo.sembuse kaulimbiu.MSALITI njia yake ni fupi,si mnamkumbuka yuda na vipande vya fedha vilikompeleka!
 
Mmemsikiliza lakini alivyosema au ndio kila asemalo ni baya? kwa kuwa tu ni Msukuma?
 
People's Power ni kauli mbiu ya TANU iliyoigizwa na CHADEMA - Mh. SHIBUDA.MH. JOHN SHIBUDA AONGEA (MichuziBlog) - YouTube

Kwani nilazima afanye makeke ili waliomtuma wamsikie?Nao wanajau kuwa kuan mamluki wengi tuu ambao hawakuwa na plan B na watachofanya ktk CDM hakina matokeo wanayoyotaka, wengine wameoza ktk mapenzi na mazingira mapya ndani ya CDM, wengine wanajua kuwa by the time wanamaliza kazi CCM haitokuwepo na wataishia km wazee wa EAC na waliokwenda burma ktk vita hakuna wa kuwalipa.Wengine wanajua hawatopata mafanikio kurudi ktk CCM.Bora angefunga domo awapige fix akina nape ktk vijiwe siku ziende.Kwa Nchi ilipofikia kuua CDM watajikuta watu walipiga no.

Watu hawajifunzi?what is he dying for?Yupo ktk foreign country anafanya espionage kuokoa nchi? AU NDIO HOMA YA UNPREDICTABLE STATE CDM waliyomweka hadi kachanganyikiwa hivyo?Kivuli cha Mbowe, brain za vijana, na wazee ktk background na sauti ya PEOPLES POWER ZINAMPAGAWISHA .


Sidhani hata km intelligence zake zinafaa tena kwa CCM, unless wanfanye kuwa decoy.
 
Mnapata shida kwasababu wote ni vichwa matikiti maji.

Mnafikiri adui yenu ni CHADEMA.

Matikiti maji.
 
Rap is an art you can't own no loops
It's how you hook em up and the rhyme style troop
- Keith “Guru” Elam - Don't Take It Personal.

 
Hatma yake iko 2015, pale itakapobidi awafuate mabwana zake huko waliko. Awe na bahati kama hajakuta talaka yake mezani.

Kwa jinsi ninavyomjua shibuda alivyo connected na watu wa maswa hata akisimama kwa tiketi ya tpp maendeleo atashinda tu,si mliona alivyoibwaga ccm licha ya fitna za makamba na kutupwa ndani kwa kesi ya kutungwa ya mauaji?kule hawachagui chama wanachagua mtu wao
 
JAMAA KAPAGAWA STRAY DOG- HASHANGAI MAMLUKI WENGINE WAMETULIA HAWATAKI MAKUU.NA KM ANAWASUBIRI WAIBUKE NA KUMPA KURA MARA ATAKAPOCHUKUA YA URASI IMEKULA KWAKE.KM ANADHANI HAT AKIPATA NAFASI YA URAIS ATAKUJA NA MASHAIRI YAKE KUWA KAKUBALI KUSHINDWA ITAKULA KWAKE MARA 2.

1.Atakuwa ameachia the top position aliywahi ota.

2.Atakowa amepoteza huruma ya CDM followers

WAKIHITAJIKA WANALISHA UONGO WALIOWATUMA KWA CHAT.SASA YEYE ANATAKA FANYA KWELI KTK HABARI FEKI ALIZOPEWA..SASA ANAMTISHA NANI NA FILE FAKE..... LONELY DOG...
 
Kauli anazoendelea kuzitoa John Shibuda mbunge wa Maswa dhidi ya Chadema na kuendea kwa Chama kumkumbatia ndani ya chama ni dalili tosha kuwa Shibuda ni mtaji na Chadema imewekeza kwa Mwanachama wake huyo.

Umeonaeh!

Shibuda ni lulu kwa CDM. Kamwe hawawezi kukubali kupoteza hichi kifaa cha nguvu...
 
Huyu jamaa dawa yake afanyiwe Umafia. Apotezwe kwenye ramani ya dunia kabsa.

King2, laiti kama ningekuwa mtaalam wa nguvu za giza, ningempiga moja mdomo uende kushoto ashindwe kuropoka tena ktk maisha yake. wala sitaki kumpoteza ktk ramani. Inatakiwa ashuhudie CDM ikipaa ila asiongee tu.
 
Angesema hivi "Kauli ya people's power,nimeisikia kwa mara ya kwanza TANU".............yaani kama vijana wengi wa sasa walivyoisikia kutoka CHADEMA...but sio origin ya kauli yenyewe....na imetumiwa na TANU&CHADEMA kwa sababu ni vyama vyenye mtazamo wa kumkomboa mtanzania!
 
Mbona mambo mengi tu tuna copy toka miaka ileee? Ni kawaida kwasababu pengine kwa wakati huu, huo msemo unaleta maana
 
Kwa jinsi ninavyomjua shibuda alivyo connected na watu wa maswa hata akisimama kwa tiketi ya tpp maendeleo atashinda tu,si mliona alivyoibwaga ccm licha ya fitna za makamba na kutupwa ndani kwa kesi ya kutungwa ya mauaji?kule hawachagui chama wanachagua mtu wao

Wanachagua chama acha kumdanganya.....fuatilia maswa yote mpaka meatu,upepo umevuma vipi?
Kwanza walikuwa wamemchoka ila CCM walikuwa wameichoka zaidi....."Ya maswa,tuachie wana maswa"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom