SHIBUDA: People's Power ni Kauli Mbiu ya TANU

People's Power ni kauli mbiu ya TANU iliyoigizwa na CHADEMA - Mh. SHIBUDA.MH. JOHN SHIBUDA AONGEA (MichuziBlog) - YouTube

Huyu karibia atapata ule ugonjwa wa mtikisiko wa ubongo (brain concussion or so (spelling sijui nimepatia au). Wewe msalama tena umekutana na chadema ni wastaarabu wanakuacha tu unabweka!!! Subiri 2015 uone mambo. Hivi unakumbuka 2005 ulivyokuwa unaomba hela za uchaguzi tena kuna mtu wangu fulani alikusaidia sana lakini hata humkumbuki.Tapeli tu wewe. Huna pa kukimbilia ni sawa na panya ndani ya ndoo!!
 
Back
Top Bottom