SHIBUDA: Mimi ni Jenarali

SHIBUDA: Mimi ni Jenarali

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Wakuu Habari za Asubuhi ya leo?!

Kwenye uchambuzi wa magazeti leo nimesikia moja ya Magawazeti (JAMBO LEO) likiwa na kichwa cha Habari SHIBUDA: MIMI NI JENERALI,Tafadhalini mlioko Tz nisaidieni kuipata habari hiyo ili nijue yeye ni Jenerali wa Nini nimestuka kidogo kuisikia taarifa hiyo.

Nimejaribu kuingia kwenye mtandao kuitafuta habari hiyo sijaipata na hata Gazeti lenyewe halionekani kwenye Mtandao,najua humu kuna wajanja ambao tayari wanalo na wanauwezo waiweka hiyo habari hapa Tafadhali naomba weka ili tujue huyu SHIBUDA anamaanisha nini kujitangaza Jenerali.

Nawasilisha.
 
Wakuu Habari za Asubuhi ya leo?!

Kwenye uchambuzi wa magazeti leo nimesikia moja ya Magawazeti (JAMBO LEO)likiwa na kichwa cha Habari SHIBUDA:MIMI NI JENERALI,Tafadhalini mlioko Tz nisaidieni kuipata habari hiyo ili nijue yeye ni Jenerali wa Nini nimestuka kidogo kuisikia taarifa hiyo.

Nimejaribu kuingia kwenye mtandao kuitafuta habari hiyo sijaipata na hata Gazeti lenyewe halionekani kwenye Mtandao,najua humu kuna wajanja ambao tayari wanalo na wanauwezo waiweka hiyo habari hapa Tafadhali naomba weka ili tujue huyu SHIBUDA anamaanisha nini kujitangaza Jenerali.

Nawasilisha.

Changanya na zako hapo!

DSC08475-418x600.jpg
 
Changanya na zako hapo!

DSC08475-418x600.jpg

Ahasante mkuu,lakini ingekuwa vyema ukadownlod story yenyee na kuiweka kuliko gazeti kama lilivyo,ingawa nashukuru kwa hapo ulipokia.wabhesajasana mwanawane.
 
SRBARRY umenena kweli ni generali wa uasi na muuaji mkuu wa demokrasia, lakini mwisho wake utafika tu
 
acheni kutema povu hapa.simsome habari yote ili mjue yeye kasema ni jenerali wa nini?
 
Every one knows that siku za MAJIGAMBO ya shibuda zinahesabika.
Hata JOGOO awe mwerevu kiasi gani na aonyeshe majigambo na mbwembe za kila aina kwa mmiliki, atasubiriwa tuu siku ya sikukuu tu achinjwe na kuliwa!!
 
Maumivu ya ubongo huanza taaratibu
 
Jenerali asiye na cheo

meja jeneral,ruten jeneral,blugedia jenelari.hao wanajulikana kijeshi ila hilo gamba lenye gwanda lina jiita jeneral huku hakuna rank hiyo jeshini lina ongeza ujuha
 
gamba lenye kujificha kwa kuvaa gwanda.its true muda utafika na kiswahili chake kama mpiga debe wa magomen.nyambafu
 
Hivi mtu kujipachikia cheo cha kijeshi sio kinyume na sheria? Au kapewa na JK (NDIYE MWENYE DHAMANA HIYO ATI)

...John Shibuda; kama anavyofahamika ni "mjanja" wa kuchezea siasa kwa kuwa ndio "mradi" wake (political enterprising) na ndio kusema, alipopigwa chini na CCM (jimboni) kwake aliamua kuhamia CHADEMA...kwa kuwa aliamini hawezi kushindwa vita vya kisiasa (yeye kama mwanasiasa anajua mbinu za kucheza na siasa na au kupigana vita vya kisiasa)...na mara zote mpiganaji wa kisiasa hutafuta ushindi...Shibuda mwaka 2010 aliitumia mbinu hiyo baada ya kukosa nafasi CCM alidandia basi la uchaguzi la CHADEMA na kushinda kiti cha ubunge....!

Inawezekana alivyoamua kuhamia CHADEMA mwaka 2010 wapangaji mikakati wa "intelijensia" wa CHADEMA hawakumjua "jenerali" huyu au...?! Tuyaache, Shibuda anatumia "mizungu" ya kisiasa na ndio kusema kwamba yeye (kama mwanasiasa) anaitumia siasa kuendesha maisha yake, kwa jinsi hiyo yupo tayari kuchukua njia yoyote alimuradi kufikia malengo yake ya ujasiriamali wa kisiasa.

Inawezekana ametumia "cheo" hicho kwa kuwa ni mpiganaji mwenye mbinu za kuongoza mapambano ya kisiasa kama anavyosadifu tangu akiwa CCM na sasa CHADEMA. Ukimjua Shibuda hakusumbui - ni "political opportunist" na hakubali kushindwa kirahisi!
 
nahisi na yeye yuko kwenye kund la wenye kadi mbili mbili yanga na simba,ccm na cdm. huku zetu tukijiunga wanachoma moto hadharani,zao ni kumbukumbu kwa wanao kama vile wengine hawana watoto.
 
Halafu unaweza kuta ana mke mstaarabu mpoleee, pamoja na watoto wapole wenye hekimaaa! Ila wanaishi nae tu, wafanyeje na ndio wamejikuta na mume na baba mtambo
 
...John Shibuda; kama anavyofahamika ni "mjanja" wa kuchezea siasa kwa kuwa ndio "mradi" wake (political enterprising) na ndio kusema, alipopigwa chini na CCM (jimboni) kwake aliamua kuhamia CHADEMA...kwa kuwa aliamini hawezi kushindwa vita vya kisiasa (yeye kama mwanasiasa anajua mbinu za kucheza na siasa na au kupigana vita vya kisiasa)...na mara zote mpiganaji wa kisiasa hutafuta ushindi...Shibuda mwaka 2010 aliitumia mbinu hiyo baada ya kukosa nafasi CCM alidandia basi la uchaguzi la CHADEMA na kushinda kiti cha ubunge....!

Inawezekana alivyoamua kuhamia CHADEMA mwaka 2010 wapangaji mikakati wa "intelijensia" wa CHADEMA hawakumjua "jenerali" huyu au...?! Tuyaache, Shibuda anatumia "mizungu" ya kisiasa na ndio kusema kwamba yeye (kama mwanasiasa) anaitumia siasa kuendesha maisha yake, kwa jinsi hiyo yupo tayari kuchukua njia yoyote alimuradi kufikia malengo yake ya ujasiriamali wa kisiasa.

Inawezekana ametumia "cheo" hicho kwa kuwa ni mpiganaji mwenye mbinu za kuongoza mapambano ya kisiasa kama anavyosadifu tangu akiwa CCM na sasa CHADEMA. Ukimjua Shibuda hakusumbui - ni "political opportunist" na hakubali kushindwa kirahisi!

Umenikumbusha, 'mtu wa mizungu mingi', ndivyo alivyo kweli huyo shibuda. Ahsante mkuu.
 
Bongo hiyo haisumbui,Jenerali Shibuda,Inspekta harun,Afande Sele,Proffesa Majimarefu,Dokta Manyaunyau etc.
 
Back
Top Bottom