SHIBUDA: Mimi ni Jenarali

SHIBUDA: Mimi ni Jenarali

Usishituke mkuu, hata Banza Stone ni Jenerali. Wako wengi Bongo wa aina ya Shibuda.
 
Hawa General wa Ki-Africa kwa kweli kasheshe. Ona akina Mabutu, Savimbi, Idi Amin nk ni kasheshe tupu.

General Shibuda, mtu kijeba halafu unajiita General...

defao_general.jpg


Atakuwa Jenerali kama Defao, inawezekana ana ule ujenerali wa Defao jamani, mwacheni ajigambe
 
...................Vichekesho vingine bwana ... we acha tu .... kumbe siku hizi unaweza kujipachika cheo cha kijeshi ... kama walivyojiita Pro. Maji marefu Dr. Kifimbo
 
Hivi shibuda ni member humu JF??? angeona hizi comment nadhani angejishusha hadi private!!!!!!
 
Jenerali wa kiswahili kigumu na mafunzo ya taarabu bungeni hana lolote,mara ooh usalama mara mamluki tena ndo alikua kinara wa posho (ujira wa mwia) cjui kwa nn cdm wanamvumilia,mbowe fukuza hii inferior!
 
Sasa mbona hamjamsaidia chochote mleta mada? Mkuu mimi kesho nitakupa ujemedari wa SHIBUDA ngoja nikasome gazeti hilo.
 
Back
Top Bottom