Habari ndo hiyo kaa mkao wakula
Ilianza hivi
Ikaja hivi
Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga
Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK
Mara ikawa hivi
Sasa kesho anarudisha kadi ya cdm
Mnakaribishwa nyote kumuona Shujaa shibuda akimwaga sera za kutoka cdm:A S 100::majani7:
I am sure hawezi kutema kutema ubunge, labda JK ampe wa kuteuliwa
chimwaga Dodoma
ritz, hujasoma lile tangazo lenu? MKUTANO MKUU WA CCM kufanyika jangwani kesho.Itakuwa wapi?
Habari ndo hiyo kaa mkao wakula
Ilianza hivi
Ikaja hivi
Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga
Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK
Mara ikawa hivi
Sasa kesho anarudisha kadi ya cdm
Mnakaribishwa nyote kumuona Shujaa shibuda akimwaga sera za kutoka cdm:A S 100::majani7:
Mzee wa ujira wa mwiha aachie ulaji? unamjua au unamsikia?
JInga hilo heri mara alfu liondoke CDM. NI mpuuzi wa kupindukia.