Kama ni kweli basi litakuwa pigo kubwa sana kwa Magwanda.
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.
pumba................source?????
tulia wewe kabla hujanyolewaSasa kama unajua kafukuzwa lete wewe data basi
Mmeshindwa kufukuza madiwani mtaweza mfukuza Shibuda? labda aachie mwenyewe, maana juzi Membe alimkaribisha rasmi na kwenye hansard ipo.
Im back and watching your FA.Kama ni kweli basi litakuwa pigo kubwa sana kwa Magwanda.