Shibuda atangaza kuihama CDM leo hii

Status
Not open for further replies.
Siku chache zilizopita kuna mdau hapa jf alikuja na same story..mi si coment chochote kwa sasa
 
Lilikuwa pandikizi likafikiri litapewa muda wa kuvua gamba akakuta CDM wao majoka wanayaua kwa kuyapiga na chuma kichwani afu wanayachoma moto hawataki hata majivu yake,tofauti na kule kwao wanavua magamba anakuwa msafi mwilini kiroho n mchafu kinyama!
 
Mtu aliyelilia posho hana uwezo wa kujiuzuru ubunge, mwache RA ajiuzuru ana mtandao mkali nasikia yuko zake Sweden na Jk kasema RA ni mwanasiasa jasiri amejiuzuru kwa manufaa ya chama lkn bado anayo nafasi kubwa ya kuwatumiki watz.
 
Shibuda ni sumu CDM hatadumu anaharufu za magamba amsubirie samweli sita anzishe ccj ahamie ndio kinamfaa kwa sasa
 
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.

Yaani siku ndo inaondoka hivyo,bado una hata advanced tetesi! kweli hapo kuna kaumbeya!
 
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.
Wewe ni chama cha magamba na unataka kusumbua akili za watu tu hapa
Kwanza kujiunga kwenyewe ndani ya JF ni leo....alafu leo hii hii unataka kusumbua vichwa vya watu hapa.
Umeulizwa source, umeingia mitini
 
kumbe kujua kutumia komputa na mitandao hii ni shida kwa upnd mwingine?
mtu akiwaza jmbo tu anatupia humu , na nyie wana jf mnapimwa bongo zenu mnakurupuka sana.
 
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.

Dogodogo,

Soma kwanza na kuzielewa taratibu za JF kabla ya kukimbilia kuleta post. Naona umejiunga leo na habari yako ya kwanza ni kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho!!!!

Mods, fungia haraka huyu endapo habari hizi ni za uongo!!!

Tiba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom