Shibuda atangaza kuihama CDM leo hii

Shibuda atangaza kuihama CDM leo hii

Status
Not open for further replies.

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,573
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.
 
Atakuwa kafukuzwa huyo. Fuatilia mkuu tupe data
 
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.
Gossip
 
Aende zake hilo dude tumechoka kumckia na upopo wake.
 
Mkuu Kama huna uhakika na unachokiandika ungeanza kwa kuanndika tetesi ktk heading yako.
 
Asiwe na haraka ! Sisi Cdm hatutanii . . . Tunamalizia kukusanya ushahidi juu ya usaliti wake, hukumu ya haki atakumbana nayo. . .
 
Kahojiwa na wataalam kaona mambo sio he! Nadhaniatakuwa kahaidiwa kupitishwa na ccm
 
Kama ni kweli basi litakuwa pigo kubwa sana kwa Magwanda.
 
Hivi alikuwa hajaondoka anasubiri nini, mtu mzima hovyoooooooo!!!
 
Ikithibitika itabidi nikapate 'Kijeti' kwa Mama Ngina pale Sabasaba kwa Mpili, ili kusherehekea mafanikio na kumtakia safari njema...!
 
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.

huyo ni farasi wa kinyantuzu.

alichelewa kuhama. na ahame. wala hatutaki majuha kwenye chama chetu.

dah! habari nzuri sana hii. nilikuwa sina mpango wa kwenda baa, sasa naenda rasmi.
 
Nkumbuka kibwagizo kwenye wimbo aloimba "Nasma Kidogo". - Umekuwa inzi, usafi wataka na uchafu wataka.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom