Ee ukiweza kumsogelea lakiniHapo unamuua kirahisi tu
ndio hapo anakuwa boya kabisa hata selfie unapiga naeEe ukiweza kumsogelea lakini
Duhndio hapo anakuwa boya kabisa hata selfie unapiga nae
Bila shaka huyu ni chatu. Je, chatu hupanda miti umbali huu? Kama alifuata mawindo. Je, ni windo gani hilo linaweza patikana juu ya mti?Hivi huyu jamaa akishameza mzigo mzito kama huo anakua na ubavu wa kupanda kwenye mti kweli? Au alifuata chakula hukohuko juu akamaliza biashara yote juu kwa juuu?
Chatu kupanda juu ya mti na akiwa ameshiba kiasi hicho sio ajabu kwa sababu chatu ananguvu nyingi sana.Bila shaka huyu ni chatu. Je, chatu hupanda miti umbali huu? Kama alifuata mawindo. Je, ni windo gani hilo linaweza patikana juu ya mti?
Teh! Uchochezi huu.hyo daku ni balaaa