Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Sio mchezo
wee hapo anakua na mkwara wa ajabu mixer kufoka kama bata,talking frm experiencendio hapo anakuwa boya kabisa hata selfie unapiga nae
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unavituko mkuundio hapo anakuwa boya kabisa hata selfie unapiga nae
mkwara ndio lakini hawezi kukumeza tenawee hapo anakua na mkwara wa ajabu mixer kufoka kama bata,talking frm experience
kabisa,sana sana akiona varangati limezidi anacheua alichokimeza ili asepe kiwepesimkwara ndio lakini hawezi kukumeza tena
yeah mkuukabisa,sana sana akiona varangati limezidi anacheua alichokimeza ili asepe kiwepesi
Hapo unamuua kirahisi tu
aaah kivipi mkuuAjira za watu hawa wanyama