Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

Kama hata hili nililolisema unalipinga bhasi sijui nikuweke kwenye group gani mkuu.
Wewe niweke kwenye group unalotaka lakin mimi sio mtumwa wa kifikra nina-uhuru wa kufikiri na hata kukosea kama wao wanavyojaribu na kukosea

Haiwezekani kila jambo unalotaka kufanya mwafrika unaambiwa mzungu alishaandika sio kweli
 
Wewe ngumbaru tengeneza internet yako ya Waafrika uandike kwa herufi zako za Kiafrika tujue kweli wewe hutegemei wazungu.
Wewe tukana au dhihaki unavyojua wala mimi siwezi kukidhihaki au kutukana NAKUSHIMU SANA HATA KAMA HATUKUBALIANI sababu hauko huru kufikiri na umeshikwa akili na wazungu huu ni ukweli nakusaidia ili utoke huko

Duniani tunategemeana
 
Logical non sequitur fallacy.

Strawman argument fallacy.

Mimi nimekupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Sina muda wa kujibizana na wagonjwa wa akili.
 
Logical non sequitur fallacy.

Strawman argument fallacy.

Mimi nimekupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Sina muda wa kujibizana na wagonjwa wa akili.
Umedhihirisha kwamba wewe ni mjinga unatishia mtu kwa kumuweka ignore list wewe ndo umeanza kundhihaki alafu unakimbilia kuniweka kwenye ignore list interesting
 
Umedhihirisha kwamba wewe ni mjinga unatishia mtu kwa kumuweka ignore list wewe ndo umeanza kundhihaki alafu unakimbilia kuniweka kwenye ignore list interesting
Mimi sikubaliani na uzi wako kwa asilimia 100 ila nimejaribu kuangalia conversation zako na kiranga kwanza sijaona kosa lako nilichokiona kwa kiranga ni hali ya dharau na kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu kumtishia mtu utamuweka kwenye ignore list
 
Logical non sequitur fallacy.

Strawman argument fallacy.

Mimi nimekupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.

Sina muda wa kujibizana na wagonjwa wa akili.
Kumtishia mtu utamweka kwenye ignore ni kujiba umuhimu kwenye maisha ya watu na pia ni utoto

Mimi sikubaliana na mleta uzi kwenye mambo mengi ikiwemo hii mada ya Leo lakin siwezi mtishia kumuweka kwenye ignore list sababu anatumia haki yake kama member
 
Kwenye falme za mashetani kuna utawala wa shètani ambao unanguvu sana na kuna tawala za shetani ambazo hazina nguvu sana kuna mda tawala flani inatawala baada ya mda unaangushwa chini anatawala shetani mwingine
 
Back
Top Bottom