Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna dada mmoja hapa mbeya from sai,ni 25 yrs old alijikuta kwenye mkasa kama wako,akipanda kwenye daladala au anatembeatembea barabarani au sokoni watu walikuwa wanamsalimia ...shikamoo bibi....kuna siku moja iliyomfanya akimbilie kwenye maombi ni pale kaingia kwenye daladala iliyojaa,Mara akasikia konda akiwaambia abiria "mwoneeni huruma huyu bibi akae jamani!"[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]