Mkuu wengine sio mpaka waulize wanahudumiwa BIla kutumia nguvuShetani amekukosea nini mzee?? Tafuta hela, hakuna cha shetani wala nini.
Next time ukienda mgahawani muulize kwa ustaarabu mhudumu kwanini hakuja kukuhudumia, akiwa mkweli itakufungua akili.
Kwa bahati hata hii comment uliyoandika inaashiria nilichoandika.Sijasoma content maana najua ni pumba, ila huyo shetani [emoji48] unayemchukia hayupo
Jichunguze jinsi ynavyoongea na watu pia angalia mwonekano wako kama vipo sawa.Enyi ndugu Wanajamii forum Nina majonzi Sana kuandika Uzi huu uliosindikizwa na masikitiko makubwa.
Ni kweli Biblia ilipoandika Shetani amekuja kuua kuiba na Kuharibu.
Pia nimegundua kuwa vita vyetu sio vya kimwili Bali vya kiroho na shetani hachagui anaweza kukutesa pamoja ya kwamba una Hela kiasi gani.
Niende kwenye mada,wakuu Mimi nimekuwa ni mtu ambaye sionekani kabisa.
Mwanzoni nilikuwa napuuzia ila Leo imeniuma Sana ,Kila mgahawa ninaoenda watoa huduma hawanioni.Naweza nikafika mgahawani na kuketi kwenye kiti kusubiria huduma ya chakula lakini mtoa huduma anapita kama hanioni.Wateja wengine wakifika wanafuata walipo na wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka Sana na Kwa heshima.Lakini Mimi nabaki pale pale tu mpaka nitumie nguvu na hata nikitumia nguvu muhudumu ananihudumia ni kama vile hanipendi.
Sio mgahawa mmoja tu na migahawa minigine nimejaribu hali ni hiyo hiyo.Nimejaribu Hadi kwenda Bar ambazo sifahamiki lakini nikifika watoa huduma hwanioni wengine watafika baada yangu watakaa watafuatwa watahudumiwa Mimi nipo pale pale.Nateseka Sana shetani wewe ni kiboko pesa ninayo lakini Kila napokuwa katika hii hali najiskia vibaya kiasi kwamba Hadi hamu ya kula inatoweka.
Sio hivyo tu Mimi ni mtu ambaye nachukiwa Sana na kudharauliwa.Wengi mnaweza sema ni tabia yangu lakini ninapokutana na watu wapya pasipo hata kuongea nao Wanakuwa wananichukia ghafla.
Sio hivyo tu kwenye siti za gari ninapokata tiketi.Watu wengi Wanakuwa wanakwepa zile siti watatafuta siti zingine wakae.Kuna wengine Hadi wanasimama wakati siti IPO pembeni yangu.Nachukia hii hali Hadi nimeanzia kujichukia.Siwezi kuwachukia watu sababu najua tatizo lipo kwangu lakini navyojua Mungu hakutuumba tuteseke Kwa hivyo hii ni kazi ya shetani.Ewe shetani huna huruma unatesa BIla .
Wewe ni Mbaya Sana umekuja kuiba kuua na Kuharibu.
[emoji1][emoji1]Kuna dada mmoja hapa mbeya from sai,ni 25 yrs old alijikuta kwenye mkasa kama wako,akipanda kwenye daladala au anatembeatembea barabarani au sokoni watu walikuwa wanamsalimia ...shikamoo bibi....kuna siku moja iliyomfanya akimbilie kwenye maombi ni pale kaingia kwenye daladala iliyojaa,Mara akasikia konda akiwaambia abiria "mwoneeni huruma huyu bibi akae jamani!"[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂🙌[emoji1][emoji1]
Kuna mafisi yanatongoza hadi Vibibi vizee [emoji16][emoji16]
SadKwakweli nitajaribu.. Halafu ni pisi Kali kwelikweli
Yeah,ili asipendwe....yaligundulika hayo kwenye maombikwa hyo ni jini mahaba lililomfanya awe na muonekano wa bibi?
Naomba niunganishe nayeTuombeane tu, kuna mdada niko nae ofisini nae anasema tangu ajitambue hajawahi kutongozwa wala hata kuombwa namba na mkaka yeyote yule,, yani yuko desperate ukimuona. Hajiamini [emoji19][emoji19]
Nawezaje kusolve hii issue KakaUmepakwa mavi kiroho, pole sana.
Hapo sasa.Shetani amekukosea nini mzee?? Tafuta hela, hakuna cha shetani wala nini.
Next time ukienda mgahawani muulize kwa ustaarabu mhudumu kwanini hakuja kukuhudumia, akiwa mkweli itakufungua akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machoziiii.Kuna dada mmoja hapa mbeya from sai,ni 25 yrs old alijikuta kwenye mkasa kama wako,akipanda kwenye daladala au anatembeatembea barabarani au sokoni watu walikuwa wanamsalimia ...shikamoo bibi....kuna siku moja iliyomfanya akimbilie kwenye maombi ni pale kaingia kwenye daladala iliyojaa,Mara akasikia konda akiwaambia abiria "mwoneeni huruma huyu bibi akae jamani!"[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata boda boda na dereva bajaj hawajawahi mtongozaa?? WoiiiihTuombeane tu, kuna mdada niko nae ofisini nae anasema tangu ajitambue hajawahi kutongozwa wala hata kuombwa namba na mkaka yeyote yule,, yani yuko desperate ukimuona. Hajiamini [emoji19][emoji19]