Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Hata alivyoingia kanisani alikuwa na mwonekano wa kawaida tupole kwake, kama ndivo alipitia kipindi kigumu sana binti wa watu aisee.
baada ya maombi alirudi kawaida au?
Hata alivyoingia kanisani alikuwa na mwonekano wa kawaida tupole kwake, kama ndivo alipitia kipindi kigumu sana binti wa watu aisee.
baada ya maombi alirudi kawaida au?
😂[emoji1][emoji1][emoji1]
😂😂😂😂dunia hadaa hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machoziiii.
Ni mzuri, mrefu mweupe ana hips na tako za kwendraa, ana macho flani hivi makubwa makubwa meupe ya kurembua,, sema ni mpoooleeMwonekano wake yukoje?
Daah! Anakosaje mwanamume wa kufanya naye maisha pisi ya kwenda kabisa hivyo?Ni mzuri, mrefu mweupe ana hips na tako za kwendraa, ana macho flani hivi makubwa makubwa meupe ya kurembua,, sema ni mpooolee
Anasema tatizo lake ndo Hilo hajawahi kutongozwa tangu ajitambue, sijui ana Shida gani yaniDaah! Anakosaje mwanamume wa kufanya naye maisha pisi ya kwenda kabisa hivyo?
Lakini unavyomuona si anatamani apate wa kufanya naye maisha?Anasema tatizo lake ndo Hilo hajawahi kutongozwa tangu ajitambue, sijui ana Shida gani yani
Mwambie anipe nambaAnasema tatizo lake ndo Hilo hajawahi kutongozwa tangu ajitambue, sijui ana Shida gani yani
Dunia ina mambo mengi sana bila kumuomba Mungu ni ngumu kuyashinda na kuyavuka masahibu ya duniaKwakweli, inabidi apambane tu na maombi
Mbona hizo sifa ni kama za yule mwanamke niliyemuonaga ndotoni.Ni mzuri, mrefu mweupe ana hips na tako za kwendraa, ana macho flani hivi makubwa makubwa meupe ya kurembua,, sema ni mpooolee
Anatamani Sana yani.. Ningekua na kaka mkubwa au uncle mbona ningemuunganisha kitamboLakini unavyomuona si anatamani apate wa kufanya naye maisha?
Jamani 😂😂Mbona hizo sifa ni kama za yule mwanamke niliyemuonaga ndotoni.
KwakweliDunia ina mambo mengi sana bila kumuomba Mungu ni ngumu kuyashinda na kuyavuka masahibu ya dunia
Haya bhanaMwambie anipe namba
KweliJamani [emoji23][emoji23]
Mshauri namna ya kujinasuaUmepakwa mavi kiroho, pole sana.
AMtafute kiongozi wa kiroho, atajua namna ya kumnasua.Mshauri namna ya kujinasua
Mtafute kiongozi wa kiroho, atajua namna ya kukunasua.Nawezaje kusolve hii issue Kaka