Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Ndo ivo cuteInasikitisha sana aisee
Ndo ivo cuteInasikitisha sana aisee
Mungu aniepushe na hicho nikuombe. Maana sio hali nzuri 😒😒Ndo ivo cute
Nimecheka mno!! 🤣🙌🏾Kuna dada mmoja hapa mbeya from sai,ni 25 yrs old alijikuta kwenye mkasa kama wako,akipanda kwenye daladala au anatembeatembea barabarani au sokoni watu walikuwa wanamsalimia ...shikamoo bibi....kuna siku moja iliyomfanya akimbilie kwenye maombi ni pale kaingia kwenye daladala iliyojaa,Mara akasikia konda akiwaambia abiria "mwoneeni huruma huyu bibi akae jamani!"😳😂😂😂😂
😂😂😂😂😂usicheke momNimecheka mno!! 🤣🙌🏾
Hakika dunia ina mengi mno cuteMungu aniepushe na hicho nikuombe. Maana sio hali nzuri 😒😒
Tuombeane tu, kuna mdada niko nae ofisini nae anasema tangu ajitambue hajawahi kutongozwa wala hata kuombwa namba na mkaka yeyote yule,, yani yuko desperate ukimuona. Hajiamini 😒😒Hakika dunia ina mengi mno cute
Mwambie ulimwengu huu si ule wa zamani....yeye ndiyo atongoze sasa....akiogopa atakufa msimbe kama anataka kuolewa lakini.Tuombeane tu, kuna mdada niko nae ofisini nae anasema tangu ajitambue hajawahi kutongozwa wala hata kuombwa namba na mkaka yeyote yule,, yani yuko desperate ukimuona. Hajiamini 😒😒
Wakuu naandika huu Uzi Kwa majonzi Sana na masikitiko ya hali ya juu.
Wale mliosema kwamba ulimwengu wa roho haupo mko wapi???
Ngoja nianze kuelezea kisa changu,wakuu BIla shaka inatakiwa tukubali kwamba vita vyetu sio vya kimwili Bali ni vya kiroho na hapa ndipo shetani anapoamua kukutesa anatesa kweli kweli.
Leo hii Mimi nimekuwa kijana ambaye sionekani katika jamii.Najua mnajiuliza kivipi? Ni hivi, nimegundua ya kuwa Kila ninapoenda mgahawani na kukaa kwenye viti na kusubiria kupata huduma kutoka Kwa watoa huduma basi sipatii chochote.Kwa mara ya kwanza nilidhani kama utani lakini nimejaribu kufanya hivi na migahawa mbali mbali lakini naona hali ndyo IPO hivyo hivyo.Mgahawa wowote ninaoingia watu wananikuta na wakifika tu watoa huduma wanawachangamkia na kuwauliza wanachotaka BIla hata ya wao kuwaita Ili Mimi nipo pale pale naangaliwa kama kinyago.Yawezekana nimerogwa.
Nilijaribu kwenda na bar Moja wapo nikakaa kwenye kiti kusubiria huduma lakini hali ni Ile Ile.Mtoa huduma aliponiona badala ya kunihudumia alicheka.Nashindwa kuelewa Nina mkosi gani.
Ewe shetani kwanini unanitesa hivi nimefanya nini kukukosea.Wewe ni Mbaya kweli umekuja kuua kuiba na Kuharibu.
Naanzia wapi kwa mfano, naogopa anaweza akasema namdhiakiMwambie ulimwengu huu si ule wa zamani....yeye ndiyo atongoze sasa....akiogopa atakufa msimbe kama anataka kuolewa lakini.
wataona inachekesha lkn hii kitu ipo..Kuna dada mmoja hapa mbeya from sai,ni 25 yrs old alijikuta kwenye mkasa kama wako,akipanda kwenye daladala au anatembeatembea barabarani au sokoni watu walikuwa wanamsalimia ...shikamoo bibi....kuna siku moja iliyomfanya akimbilie kwenye maombi ni pale kaingia kwenye daladala iliyojaa,Mara akasikia konda akiwaambia abiria "mwoneeni huruma huyu bibi akae jamani!"😳😂😂😂😂
Kabisa mkuuwataona inachekesha lkn hii kitu ipo..
Mpe ujumbe huku mkicheka,utafika ivoivo....akisubiri ajitegeshe ndiyo atongozwe bas atasubiri sana...maana wanaume sasa hawana muda wa kuangalia mitego wamefocus kutafuta pesa.....umempenda mchaneNaanzia wapi kwa mfano, naogopa anaweza akasema namdhiaki
kwa hyo ni jini mahaba lililomfanya awe na muonekano wa bibi?Ndiyo hivyo kumbe kaolewa na jini mahaba lenye wivu halitaki binti apendwe na wengine ..
Kwakweli nitajaribu.. Halafu ni pisi Kali kwelikweliMpe ujumbe huku mkicheka,utafika ivoivo....akisubiri ajitegeshe ndiyo atongozwe bas atasubiri sana...maana wanaume sasa hawana muda wa kuangalia mitego wamefocus kutafuta pesa.....umempenda mchane
Wewe unamjua?Unamjua Shetani wewe?
Hakuna shetaniWewe unamjua?
Kuna mafisi yanatongoza hadi Vibibi vizee [emoji16][emoji16]Ndiyo hivyo kumbe kaolewa na jini mahaba lenye wivu halitaki binti apendwe na wengine ..