Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 662
DA KITU TAMU BALAA
Pamoja sana kiongozi! Shukrani..Mkuu The bold Salute sana nimetakasika vilivyo Niseme tena Asante kwa kunipa chakula akili inapeneaga.
Amen! Barikiwa pia Mkuu, shukrani..The Bold heshima yako kiongozi, hii pini nimeikubali..ubarikiwe sana
Sio mbinu za kipelelezi tu peke yake bali unaweza kuziapply kwenye aspects nyingi sana za kimaisha hasa hasa kama shughuli zako zinahusisha kuintreract sana na watu..Kiongozi upo vizuri kwa masimulizi....big up sana.
Ila zile amri kumi za huyu jamaa, ukichunguza kiundani ni miongoni mwa mbinu/sifa za kiupelelezi
Notification huwa zinazingua sana, wengi hawapati.. Nashangaaga nakuta labda mtu amequote comment yangu kwenye uzi nakuja naiona tu kwa bahati lakini sijapata notification..Asante yani nilitaka nikuulize vipi hakuna nyingine? Naangalia uzi ndio nikaikuta hii
.yaan sipati notification sijui shida ni nini na wakati jina langu lipo .
Asante The bold
Pamoja sana Mkuu! Shukrani..The bold you did it again!Thumbs up bro Nimependa hizo amri kumi zake Na ndizo zilizomfanikisha japokuwa alikamatwa.