Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,748
- Thread starter
- #81
Nimefurahi siku yako imekuwa mwanana! Shukrani sana..Umefanya siku ya Leo kuwa nzur mkuu The bold shkuran
Nimefurahi siku yako imekuwa mwanana! Shukrani sana..Umefanya siku ya Leo kuwa nzur mkuu The bold shkuran
KE ni wakuwa nao makini sana! Wahalifu wengi daraja la kwanza waliponzwa na ke..Nimefurahi alivyo-print dollarz mpaka serikali ikachanganyikiwa!!!
Kitu nimejifunza ni kuwa wahalifu wana confidence ya kufa mtu!!!
Kitu kingine nimejifunza ni kuwa kama we ni mtu wa madili angalia sana uhusiano wako na hawa ke!![]()
Shukrani..Safi sana
Yah nimeliona hilo angalizo mkuu ila huyu jamaa ni mtata si masihara mtu hata hajulikani alipozaliwa khaaaI know, ndio maana nimeweka angalizo paragraph ya kwanza kabisa..
Duuuuhh aiseeee!Mkuu the The bold
hata hapa kwetu tunawapigaji ambao ukihadithiwa aina ya upigaji wa matukio yao unabaki na bumbuwazi.
nimewahi kuhadithiwa upigaji wa wahusika wawili maarufu sana nchini,si wengine ni ostaz juma na musoma na mwingine anaitwa chief kiumbe(bila shaka majina haya si mageni kwako).
hawa jamaa huwa wanajifanya waganga wa kienyeji na upigaji wao ni ule wa kumuhaidi mtu kuwa wanaweza kumuongeza pesa au utajiri.
wamefanikiwa sana kwa upigaji huo na wamewapiga watu wengi sana.
kuonyesha kuwa hawa jamaa ni magwiji ktk upigaji,hawapigi tu nchini bali hadi ktk nje ya mipaka ya tz.
wanapiga kenya,Uganda,Burundi,Rwanda,Congo,
Mozambique, south Africa,Dubai nk.
nikipata mda nitarudi kueleza mbinu wanayotumia kupiga kama nilivohadithiwa na rafiki yangu mtoto wa kinondoni ambaye anajua michongo mingi sana ya wapigaji wa town.
Kijana ulinifanya nilale kwa njozi nzuri jana....Pamoja Mkuu! Shukrani
Nimefurahi sana kusikia hivyo kiongozi! Shukrani sana Mkuu InnocenthezronNazidi kujifunza mengi the bold.... Xahv naonekana mtu mbele ya watu naweza nikawakalisha hata watu mia nkiwapa story za most nottorious @criminnals dunian shukran sana mkuu @thebold
Hahaha! That's really great Mkuu.. I hope ujaota sura ya lustig maana unaweza kucheka usingizini mpaka ukaamka..Kijana ulinifanya nilale kwa njozi nzuri jana....
Usingizi uligoma nikakitana NA hii post kama vile hardley chase nimelala huku natabasamHahaha! That's really great Mkuu.. I hope ujaota sura ya lustig maana unaweza kucheka usingizini mpaka ukaamka..