Shukrani sana Mkuu!Kama naangalia movie vile!! story kali sana hii keep it up!
[HASHTAG]#FreeMaxenceMello[/HASHTAG]"Sometimes people lose their right to remain silent when pressured to remain silent."
- Criss Jami
# FreeMaxenceMelo
#TheBold'sForMelo
Shukrani sana Mkuu..Very fascinating story. Congratulations to brother The bold
Pamoja sana Mkuu onechromosomeMkuu the bold shukrani kwa kunitag Uzi huu,ngoja nishibe nianze kuusoma taratiiibu.
Utapeli kama huu unahitaji wewe mwenyewe kuwa na fedha ya kuandaa mazingira ya utapeli kukamilika na kumuondoa wasiwasi mtapeliwa. Utapeli wa kibongo mtu anakutapeli ili apate hela ya kula kesho, kesho kutwa anakufuata tena akiwa na shida amesahau kama siku si nyingi alikutapeli hahahaShukrani sana Mkuu..
Exactly! Wenzetu mtu anakuwa na 'mtaji' wake kabisa kwa ajili ya kufanyia shughuli yake ya Utapeli..Utapeli kama huu unahitaji wewe mwenyewe kuwa na fedha ya kuandaa mazingira ya utapeli kukamilika na kumuondoa wasiwasi mtapeliwa. Utapeli wa kibongo mtu anakutapeli ili apate hela ya kula kesho, kesho kutwa anakufuata tena akiwa na shida amesahau kama siku si nyingi alikutapeli hahaha
Hahahah! Karibu sana Mkuu..Sasa nashusha nyuzi zako moja baada ya moja..