Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,671
- Thread starter
- #41
Shukrani sana Mkuu! Salutethe bold katika ubora wake..much thanks mkuu kwa nondo maarrdaaadii
Shukrani sana Mkuu! Salutethe bold katika ubora wake..much thanks mkuu kwa nondo maarrdaaadii
Pamoja Mkuu! ShukraniThe bold unatisha Asante sana
Shukrani sana Mkuu..The bold uko vizuri
Shukrani sana Mkuu..The bold uko vizuri
Duh! We jamaa the bold hebu tuingie Hollwood tukafanye movie,inawezekana ukawa na upeo wa kuandika filamu kama kina Merry Gibson.hata kama uletacho hapa unakitoa mahala lakini unakua upo vizuri,hebu mcheki Anord au Donnie Yen twenzetu Hollwood tukafanye yetu,ila naomba mimi niwe staring wa picha
Mwisho wa Picha starring unapaa mbinguni kama Dhalumenda vile.Haha hahaha..itakua matata sana mkuu
Mkuu The bold huniangushagi. Unandika story kwa ufasaha na umarudadi mkubwa kiasi kwamba hakuna mwingine ataielezea kwa namna nzuri na ya kupendeza kama ww. Hongera sana.
Cc scorpio me njoo bae tusome story za Mtaalam
Pamoja sana kiongozi Leonard Robert! Shukrani..Asante mkuu the bold
Pamoja sana Mkuu! Shukrani..Mkuu The Bold hongera sana...jukwaa hili nimekuwa shabiki sana kwa ajili yenu watu kama nyie.
Hahahaha! DaaahhMwisho wa Picha starring unapaa mbinguni kama Dhalumenda vile.
Mkuu sisi tunakaa na kuanza kusoma story zako huku kila mmoja akijitahidi amalize kabla ya mwenzake,alafu atayemaliza mapema aanze kumuelezea mwingine kwa usahihi. Ukikosea credits zinahamia kwa mwingine maana itakua umesoma kwa wenge alimradi kumaliza.Nashukuru sana Mkuu Compact
Naona umemualika na mbebez, shem letu aje ainjoy! Safi sana Mkuu.. Naipendaga sana kapo yenu, kama mapacha vile
Hahahaha daaaaahh aisee ndio maana nasema nyinyi ni kama mapacha yaniMkuu sisi tunakaa na kuanza kusoma story zako huku kila mmoja akijitahidi amalize kabla ya mwenzake,alafu atayemaliza mapema aanze kumuelezea mwingine kwa usahihi. Ukikosea credits zinahamia kwa mwingine maana itakua umesoma kwa wenge alimradi kumaliza.
Mpaka sasa nishapigwa KO tatu ila nami najisifu nimempiga moja takatifu ya Cooper.
Hakika hata akinipiga zingine zilizobaki najivunia kushinda pambano la Kihistoria.
Utukumbuke kwenye tag list yako Mkuu.
Shukrani sana Mkuu..Umenifurahisha sana!asante mkuu usisite kutupa kisa kingine;;!hasa pia wizi uliovunja rekod dunian!!wonderful story!!!!