Shetani akizeeka anakuwa malaika

Shetani akizeeka anakuwa malaika

Ndo maana jamaa anawahi na cheo kabisa anajua yupo ukingoni
 
shetani ni roho sasa roho haifi na kama haifi basi hata suala la kuzeeka halipo.
 
Anapovaa mwili wa nyama je!? Kumbuka sizungumzii kifo nazungumzia kuzeeka
kwa dhana hiyo anazeeka kama tunavyoona wale waovu wakubwa mwishowe walivyopoteana na kuishiwa nguvu za kueneza uovu, ila la kukumbuka ni kwamba waovu ndio watapoteana uzeeni ila uovu utaendelea maana shetani atawaingia vijana wapya wenye nguvu yaani kama juma pondamali mensah anavyomuaanda kijana wake bashite
 
Ni kwa vile shetani naye ana vizazi kama mwanadamu
 
Mnafiki akizeeka anakuwa mchawi; na mchawi akizeeka anageuka jini. Jini akizeeka anaishi motoni
 
.
930a42c36e1ac36485df28dee79ee3a1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Cute-teddy-with-beautiful-flowers-500x500.jpeg
    Cute-teddy-with-beautiful-flowers-500x500.jpeg
    31.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom