Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,153
- 829,091
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 (pengine ni 700-800) baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili
Ukipewa hii Neema ya kuishi miaka hiyo, nguvu zinapokuishia mwilini na kuanza kukikaribia kifo hata mindset yako hubadilika... Hasa ukikikaribia kifo kwa njia ya kuugua magonjwa yanayoambatana na uzee.. Unaanza kuiona kweli katika uhalisia wake! Unaanza kumuona Mungu na njia ya kuelekea uzimani
Chini ya miaka 70 wala usiwaze kuwa hata malaika msaidizi achana na malaika mkuu kama alivyokuwa Lucifer.. Hii inatokana na kwamba akili bado inakuwa active na mwili bado una nguvu huku via vya uzazi vikiwa katika hali ya ukomavu kutokana na kupokea mitulinga mingi na kuingia matanuri mengi
Inasemekana vile vya jinsia pinzani hurudi kuwa sealed na hivi vyetu hubaki na kazi ya kutoa ndogohaja tuu... Useless kabisa... Kutoka kutoa umeme wa 3phase, mpaka wa kuwasha tochi tuu
.... Kutoka horsepower 100 mpaka kupiga hendeli...
.... Unapofikia hapa shetani anakuwa hana faida tena nawe.. Huna nguvu huna lolote.. Hata ukipewa utaishia kuibariki tuu.... Babu nitoe baridi huwezi... Babu nisubiri nakuja.... Wewe kitambo kabisa kwa kasi ya supersonic ulishafika
... Huna jinsi zaidi ya kumrudia mola wako
Hapa kuna mawili usipogeuka kuwa malaika.. Utageuka kuwa mchawi.. Hizi ndio starehe za uzeeni... Utafanya starehe gani tena wakati meno yenyewe huna tena na nyama huwezi kutafuna? Hata ukikogoa ardhi haichimbiki!?
Utakuwa mpinzani mkuu wa uwepo wa Mungu
Utakuwa unaingia nyumba za ibada si kwa uchaji toka rohoni bali kutokana na nafasi yako.. That Majesty boldness... Kwakuwa una nafasi fulani katika jamii, ni mfanyabiashara mkubwa, au ni msanii maarufu au una nguo mpya gari nknk.... Ukizeeka hayo yote si kitu tena.. Unaweza enda hata na gagulo la kushindia na kubazi la yeboyebo mtaa wa Jangwa na ukaona poa tu...
. Nimemkumbuka Idd Amin dada kafa akiwa ustadh
. Nimemkumbuka Mzee Mwiru, kafa na kitubio
. Nimewakumbuka wengi... Bibi Tina wa mwananyamalaa
. Nimewakumbuka hata hawa wanaokaribia kufika huko!? Nabaki najiuliza tuu... Hivi hawajui fainali ni uzeeni!?
Shetani akizeeka anakuwa malaika.... Je ni mashetani yote au ni baadhi tuu... Kwa hakika ni baadhi tu ndio maana kuna wanga na wachawi vikongwe.... Sijui yeye atakuwa nani

Ukipewa hii Neema ya kuishi miaka hiyo, nguvu zinapokuishia mwilini na kuanza kukikaribia kifo hata mindset yako hubadilika... Hasa ukikikaribia kifo kwa njia ya kuugua magonjwa yanayoambatana na uzee.. Unaanza kuiona kweli katika uhalisia wake! Unaanza kumuona Mungu na njia ya kuelekea uzimani
Chini ya miaka 70 wala usiwaze kuwa hata malaika msaidizi achana na malaika mkuu kama alivyokuwa Lucifer.. Hii inatokana na kwamba akili bado inakuwa active na mwili bado una nguvu huku via vya uzazi vikiwa katika hali ya ukomavu kutokana na kupokea mitulinga mingi na kuingia matanuri mengi
Inasemekana vile vya jinsia pinzani hurudi kuwa sealed na hivi vyetu hubaki na kazi ya kutoa ndogohaja tuu... Useless kabisa... Kutoka kutoa umeme wa 3phase, mpaka wa kuwasha tochi tuu
.... Kutoka horsepower 100 mpaka kupiga hendeli...
.... Unapofikia hapa shetani anakuwa hana faida tena nawe.. Huna nguvu huna lolote.. Hata ukipewa utaishia kuibariki tuu.... Babu nitoe baridi huwezi... Babu nisubiri nakuja.... Wewe kitambo kabisa kwa kasi ya supersonic ulishafika
... Huna jinsi zaidi ya kumrudia mola wakoHapa kuna mawili usipogeuka kuwa malaika.. Utageuka kuwa mchawi.. Hizi ndio starehe za uzeeni... Utafanya starehe gani tena wakati meno yenyewe huna tena na nyama huwezi kutafuna? Hata ukikogoa ardhi haichimbiki!?