Hiv unajua kwa wazee wengine kumsalimia kwa kiganja ni dharau!!!!Unainua hata kiganja tu kwa kuashiria unampa salam japo kwa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwezi kutoa sauti unaweza tu kupunga mkono kuashiria salamu me ndo hua nafanyaNaamini mko poa humu ndani.
Leo mida ya asubuh wakati naelekea kwnye miangaiko yangu ya hapa na pale bhana, nikapita mita ya karibu na nyumba anayoishi Mzee wetu mwenye nyumba.
Sasa kikukweli alikua mbali sana kiasa cha distance ya kama mita 25 au thelathini tokea nipokua napita Mimi.
Nikaona hapa kama ni kutoa salam ili aiskie bs nipaze sauti sana ndo tuskilizane...basi nikaona sio kesi nikapita kikauzu
Sasa kumbe yeye kanichora tu.
Nimerudi sa hv geto nimemkuta nje ya nyumba yetu aliotupangisha anafanya Fanya usafi.........nikamsalimia...akanikaushia....nikarudia tena kumsalimia aiseee..
Nikashangaa Mzee kawaka "unanisalimia nin wakat asubuhi umenipita bila salam,, siku hz umekua na dharau sana, hvo vimiambili mia mbili vinakuchanganya"
Yani kwa kifupi aliongea kinoma....nikaona niingie zangu ndani tu, ile nimeshangaa sana,
Sasa sijui nyie watu wa humu ndani katika swala LA kutoa shikamoo mnakua mmejiwekea utaratibu gani.
Mana mim mtu akiwa mbali sana siwezaji kupaza sauti kumsalimia kama natangaza salam bhana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpka sa hv sijui kiingereza inaitwaje hii salam.....naskia ilikua salama ya kitumwa enzi za waarabu kitawalaHuwa naichukia sana hii salamu ya SHIKAMOO sijui huyo aliyeitunga aliwaza nini! Ndio maana kwenye movies za kibongo wanapata tabu sana kuweka subtitle ya kizungu pale wanapoamkiana SHIKAMOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ulipo una uarabu gani ? Wewe ni wale wale tu mnaoita Kigogo uswahilini wakati mkiwa bar mkiingia kwa choo hamflush. I know this pretending typesipendi MTU anisalimie "vipi hali"nahisi imekaa kiswahili swahili!!
Vipi hali mkuu?sipendi MTU anisalimie "vipi hali"nahisi imekaa kiswahili swahili!!
Kumbe tupo wengi, niliazimia kutotumia hii salaam na nilianzia nyumbani kwa wazee nashukuru walinielewaHuwa naichukia sana hii salamu ya SHIKAMOO sijui huyo aliyeitunga aliwaza nini! Ndio maana kwenye movies za kibongo wanapata tabu sana kuweka subtitle ya kizungu pale wanapoamkiana SHIKAMOO
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHapo ulipo una uarabu gani ? Wewe ni wale wale tu mnaoita Kigogo uswahilini wakati mkiwa bar mkiingia kwa choo hamflush. I know this pretending type
Afu hii salam imekaa kitumwa tumwa sanaKumbe tupo wengi, niliazimia kutotumia hii salaam na nilianzia nyumbani kwa wazee nashukuru walinielewa
Umeamkaje
Umeshindaje
Habari etc
(Kutegemeana na mahusiano na rika)