Mbona ombi lako ni gumu kutekelezeka. Nadhani sema una shida gani kuhusu ndoa watu wakusaidie. Kujua kiundani sheria ya ndoa entails going to law school/college.
Hakuna mwanadamu mkamilifu kama kosa sio zinaa basi tulia na wako utaacha wangapi, Mwenyezi Mungu aliweka burden ya ndoa intentionally kutufundisha uvumilivu na upendo wa kiroho. pia kama mwenzako amekutenda na focus yake iko kwenye mali just muachie utaona miujiza ya ajabu hapahapa duniani , Bwana Mungu atakulipa zaidi na zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.