Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Mkuu High Vampire,kwenye ndoa hakuna mali ya mtoto/watoto. Kuna aina mbili za mali: mali binafsi ya mwanandoa na mali ya pamoja ya wanandoa. Hivyobasi,ni busara kuepuka varangati juu ya mali kwa kuweka mali katika mifumo/aina hizo zinazotambulika kisheria.
Hapa unamaanisha kama kuna mali yoyote iliyonunuliwa na mwanandoa wa kiume na akawa kaziandikisha kwa majina ya watoto wao bado mali hizo zitatakiwa kugawanywa wakati wa kupeana talaka bila kujali kwamba mali hizo haziko katika majina ya wanandoa wenyewe?
 
1. Na je, kama mali hizo ziko katika majina ya watu wengine ambao ni ndugu wa mme na wakati huo nyaraka zikionyesha huyo mme alikuwa ni mlipaji tu aidha kwa kutoa pesa yake mwenyewe au kwa kupewa pesa hiyo na huyo ndugu yake ambaye jina lake linaonekana kwenye hati ya mauziano nako zitatakiwa kugawanywa kwa mtalaka wake?

2. Kuna scenario nyingine ambapo mwanaume alinunua kiwanja na kupewa offer ambayo hadi leo hii imepita miaka minane bado ipo katika jina la mmiliki wa awali lakini wakati wa kuuziana muuzaji alisainishana mkataba wa mauziano na mnunuzi ambaye ni mwanaume. Kiwanja hicho kikaja kuendelezwa kwa kujenga nyumba ambapo mtoa pesa yote ya ujenzi alikuwa ni mwanaume hadi nyumba ikakamilika na hatimaye wanandoa wakahamia na wakaweza kuishi ndani ya nyumba hiyo kwa miaka mitano (bila kubadili jina la umiliki kwenye offer ya kiwanja hicho hadi hii leo na hata hati yenyewe bado). Je, katika mazingira hayo bado mahakamani wanaweza kutaka nyumba iuzwe wakati offer ya kiwanja bado inasomeka katika jina la muuzaji wake na siyo katika jina la mwanandoa wa kiume? Au mwanamke atastahili kupata haki gani hapo?
 
Habarini za mda huu wakuu!
Ninashida na sample ya talaka ya ndoa ya kikristo ambayo imetolewa ma mahaka. Yoyote mwenye sample ya talaka ya namna hiyo naomba anisaidie. Natanguliza shukrani!
 
Nitakutumia kesho pdf
 
1. Na je, kama mali hizo ziko katika majina ya watu wengine ambao ni ndugu wa mme na wakati huo nyaraka zikionyesha huyo mme alikuwa ni mlipaji tu aidha kwa kutoa pesa yake mwenyewe au kwa kupewa pesa hiyo na huyo ndugu yake ambaye jina lake linaonekana kwenye hati ya mauziano nako zitatakiwa kugawanywa kwa mtalaka wake?

2. Kuna scenario nyingine ambapo mwanaume alinunua kiwanja na kupewa offer ambayo hadi leo hii imepita miaka minane bado ipo katika jina la mmiliki wa awali lakini wakati wa kuuziana muuzaji alisainishana mkataba wa mauziano na mnunuzi ambaye ni mwanaume. Kiwanja hicho kikaja kuendelezwa kwa kujenga nyumba ambapo mtoa pesa yote ya ujenzi alikuwa ni mwanaume hadi nyumba ikakamilika na hatimaye wanandoa wakahamia na wakaweza kuishi ndani ya nyumba hiyo kwa miaka mitano (bila kubadili jina la umiliki kwenye offer ya kiwanja hicho hadi hii leo na hata hati yenyewe bado). Je, katika mazingira hayo bado mahakamani wanaweza kutaka nyumba iuzwe wakati offer ya kiwanja bado inasomeka katika jina la muuzaji wake na siyo katika jina la mwanandoa wa kiume? Au mwanamke atastahili kupata haki gani hapo?
Hoja kuu ni je hiyo nyumba ulijenga ukiwa na huyo mwanamke?
Kama ulijenga ukiwa ushamuoa mtagawan
Ila kama ulijenga Kabla hapati kitu
Kuhusu majina Ktk hati hapo unawez kutumia trick ukanushe kuwa sio nyumba yako
 
Kuna hii issue ya kaka yangu, kisheria inakaaje?

Brother alizaa na mwanamke, wazazi hawakutaka bro aoe mwanamke mwingine tofauti na aliyemzalisha, brother akikataa kuoa lakini wazazi wakaenda kulipa sehemu ya mahari bila bro kwenda ukweni...

Baada ya hapo mama mtoto akakaa nyumbani kwetu kwa miezi kadhaa, wazazi wakamkazia bro amchukue, AKAMCHUKUA NA KUANZA KUISHI NA HUYO SHEM.

Waliishi miezi 8 shem akapata kazi mbali, na bro akahamia mbali na home, shem akawa anamtembelea mumewe mara moja moja anapopata likizo!

Baada ya miaka 3, shemeji akapata mtoto wa pili, lakini akagundua bro ana mwanamke mwingine na ameshazaa naye huko anakoishi, shem akakasirika na kukata mguu kwenda kwa mumewe, imepita miaka 3 bila kukanyaga kwa bro, (japo bro hajaoa huyo mwanamke wa pili ila ameongeza mtoto wa pili)

Baada ya shem kusikia mchepuko wa bro ana mtoto wa pili, anamwambia bro afuate utaratibu wa kumuacha na ampe talaka, huku akidai mgao wa mali kwa kuwa yeye alikuwa n'a watoto, kwa hiyo kila alichochuma bro, anadai ana haki nacho pia, japo bro alikuwa akichangia matunzo ya watoto wake.

Je, bro analazimika kutoa talaka? Je, akiendelea na maisha yake bila kutoa talaka wala kufuata utaratibu wowote wa kuachana, huku akiendelea kutunza watoto wake, nini yaweza kuwa madhara, kwa jicho la kisheria? Petro E. Mselewa

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu TheMnyonge, ndoa ndiyo msingi wa kutolewa kwa takala na kufanyika mgawanyo wa machumo. Kuna ndoa ya kidini, ya kiserikali na kimila. Kwa ulivyoeleza, hapo hakuna ndoa. Lakini, hapo kuna dhanio la ndoa. Hivyobasi, lazima kutakuwa na mgawanyo wa machumo na matunzo ya watoto ikiwa wataishi na mwanamke.
 
Wanawezaje kugawana mali wakati kila mmoja alikuwa akiishi kivyake, kwa miaka zaidi ya mitatu bila mke kwenda kwa mumewe ?

Let us say, mume amenunua/kujenga nyumba kwa kipindi ambacho mke hakuwahi kwenda kwa mumewe, anapataje haki ya hiyo nyumba ilhali matunzo ya watoto mume aliendelea kutoa kwa watoto wake?

Mchango wa mke unakuwa ni nini ilhali mume anajifanyia shughuli zote yeye mwenyewe? Petro E. Mselewa

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
KANUNI YA KUGAWA MALI 50-50 BAADA YA TALAKA HAITATUMIKA TENA! MAHAKAMA YA UPEO

Katika kesi ya talaka, kila mhusika anapaswa kuacha ndoa na mali aliyoipata wakati wa muungano" - Mahakama.
Muhtasari
• Majaji wakuu waliamua kwamba masharti ya Ibara ya 45(3) ya Katiba kuhusu usawa katika ndoa hayaruhusu mahakama yoyote kubadilisha haki za umiliki zilizopo za wahusika.

Wenzi wa ndoa hawana haki ya moja kwa moja ya asilimia 50 ya sehemu ya mali ya ndoa baada ya talaka, Mahakama ya Juu imeamua kusuluhisha mojawapo ya masuala yenye utata katika Sheria ya Familia.

Ikitangaza kuwa kanuni ya 50:50 haitumiki kabisa, mahakama ya juu ilisema kwamba katika kesi ya talaka, kila mhusika anapaswa kuacha ndoa na mali aliyoipata wakati wa muungano ingawa mwenzi anaweza kupata zaidi kulingana na mchango wake katika ndoa na upatikanaji wa mali ya ndoa.

Mahakama ya majaji watano ikiongozwa na naibu jaji mkuu Philomena Mwilu pia ilishikilia kuwa kila mwenzi katika ndoa lazima athibitishe mchango wake katika utajiri wa familia ili kuwezesha mahakama kuamua asilimia inayopatikana kwake katika ugawaji wa mali ya ndoa.

Mahakama ilisema kuwa mtihani wa kuamua kiwango cha mchango wa mhusika ni mojawapo ya msingi wa kesi.

Uamuzi huo unatarajiwa kutoa sura ya ugomvi wa kisheria kati ya waume zao wa zamani na wake wa zamani kuhusu kugawana mali baada ya ndoa zao kusambaratika.

Majaji wakuu waliamua kwamba masharti ya Ibara ya 45(3) ya Katiba kuhusu usawa katika ndoa hayaruhusu mahakama yoyote kubadilisha haki za umiliki zilizopo za wahusika.

Masharti hayo yaliyotajwa kufanya kazi tu kama njia ya kutoa usawa wakati wa kuvunjika kwa ndoa huku kila mhusika akiwa na haki ya kupata mgao wao wa haki wa mali ya ndoa, ilisema mahakama.
 
MAAMUZI ya Mahakama ya Upeo ya Kenya imeonesha njia Kwa waamuzi Wetu wa Tanzania wachukulie MAAMUZI hayo kama authority persuasive.

Mahakama imeshiriki Sana kupora haki za Wananchi kwakutumia vibaya tafsiri ya matrimonial assets.
HALI hii inawanufaisha Sana Raia wa kigeni ambao wamechukulia mwanya wa sheria zetu kufanya UPORAJI wa Mali nimeshuhudia Raia wa kigeni wanatafuta wanawake wa kitanzania nakujifanya kama wamewaoa ili kupata UHALALI wa kuishi Nchini na hatimaye kufanya vituko ili Ndoa ivunjike na hatimaye wapate MGAO wa Mali.
Pamoja na madhumuni ya kuweka sheria hiyo yalilenga kuwasaidia wanawake wanyonge lakini kwasasa wajanja wanaigeuza kuwanufaisha Wanaume wanaopenda masuger mami ili mwisho wasiku wafaidike na hicho kitu kinachoitwa matrimonial property.
Wakenya wamefungua njia hata kama itachelewa kuja kwetu lakini njia imefunguliwa.
 
Madhara yapo.
1. Let say Bro wako sasa anaamua anataka kufunga ndoa ya kikristo/kiserikali huyo mama watoto anaweza kuweka zuio hivyo ita-delay mchakato au kupelekea huyo bi harusi mtarajiwa na yeye kughafilika na kukataa kabisa kuolewa.
2. Kuhusu talaka. Kisheria talaka hutolewa inapokuwepo ndoa. Kwa maelezo yako hapo juu, hicho kilichopo ni dhana ya ndoa ( presumption of marriage) sasa huyo mama watoto anaweza kwenda mahakamani kuthibitisha uwepo wa dhana ya ndoa. Akifanikiwa kuthibitisha hilo na kuthibitisha mali zilizochumwa kwa pamoja wakati wa hiyo dhana ya ndoa, basi mahakama itaamuru mgawanyo wa mali hizo ufanyike kwa namna itakavyoona inafaa, na pia itatoa amri ya matunzo na custody ya watoto kulingana na mazingira na facts zitakazothibitika.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Uwepo wa dhana ya ndoa unathibitishwa kwa vithibitisho kama vipi mkuu?
 
Kujua km kuna dhana ya ndoa kwanza kusiwe na ndoa.Lakini pili, lazima kuwe na ushaidi utaothibitisha kwamba wawili hao, yaani mwanaume na mwanamke wameisha pamoja kama mume na mke kwa kipindi kisichopungua miaka miwili na watu wanaowazunguka wakawatambua wawili hao kama ni mume na mke.
 
Hivi wanathibitisha vipi kuwa ndoa haipo consummated?
Nadhani ni case ya D Vs A.. walisema penetration must be full penentration na no need to consider end results...

S vs S kama sijakosea a man alirelapse immediately after penis has entered in vagina court of law held that there is no penetration...

so hii issue depend on circumstances
 
Back
Top Bottom