Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Ndoa ni makubaliano ya jinsia mbili tofauti kuishi pamoja na kuhitajiana katika shida na raha.

Hayo mambo ya kukulana Mbunye tumejianzia tu sisi wenyewe😂😂😂

Vipi mwenzetu imekutokea puani ninii😂😂😂😂😂

Au wewe ndio yule baharia aliyepikiwa dagaa bila nyanya kukatwakatwa😂😂😂😂😂😂😂

Kama ulioa tako kazi ni kwako mzee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: _ID
Ndoa ni makubaliano ya jinsia mbili tofauti kuishi pamoja na kuhitajiana katika shida na raha.

Hayo mambo ya kukulana Mbunye tumejianzia tu sisi wenyewe

Vipi mwenzetu imekutokea puani ninii

Au wewe ndio yule baharia aliyepikiwa dagaa bila nyanya kukatwakatwa

Kama ulioa tako kazi ni kwako mzee
 
Ndoa ni muungano na mkataba halali kati ya mwanaume na mwanamke walioamua kuishi pamoja. Ni kibali, ni baraka, ni idhini, ni halalisho, ni ruhusa rasmi kutoka kwa wazazi, taasisi za kidini, ndugu, marafiki na jamii kwamba sasa unaweza kuishi pamoja mwenza wako kama mume na mke. Pia, ndoa ni hitaji la kisheria linalokutambulisha wewe kama mume na mke halali wa fulani.
 
Mie naona angekaa tu na mama yake mpaka afikie umri wa kujitambua mwenyewe sasa na kuamua akae na nani.
Mto to ni mali ya baba na mama na wore wana wajibu sawa katika matunzo na malezi ya mtoto, hivyo hivyo m to to ana haki ya kulelewa na mama au baba.
 
Naomba msaanda wa sheria,mimi nimeoa bila ndoa,nimetoa mahali na mambo mengine,lakini mke wangu amekuwa na mambo mengi sana nimemvumilia sana,anataka tuachane vip kuhusu pesa yangu ya mahali naweza kupata nikifata sheria,maana tuna mienzi 2.tangu tuoane.
 
Miezi miwili? Hapana minimum ni miezi sita
 
Back
Top Bottom