Sheria mpya za wanywa ulabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria mpya za wanywa ulabu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mr Rocky, Jun 25, 2012.

 1. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE:-  1. Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bat- Jela miezi tisa.

  2. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo -kifungo cha maisha

  3. Kuvunja chupa ya bia -Jela miaka miwili

  4. Kumkaribisha mume au mke wa rafiki yako bila idhini yake -Viboko ishirini vya makalio na kufungiwa kunywa nusu siku.  5. Kumchukulia dhamana mtu aiyepiga mma (pombe) - Adhabu yake ni kutolewa chamani

  6. Kumwibia pombe mlezi mwenzako, ni kosa kubwa -Jela mwaka mmoja.

  7.Kukataa kunywa wakati umekaribishwa -Jela miaka mitano

  8. Kukwepa ulevi wa aina yoyote adhabu ni - kunyang'anywa mume au mke, kama huna utatozwa faini.

  9.Kupita Bar au Grocery na kujifanya huoni, hilo ni kosa kubwa sana, faini yake ni kuwanunulia wanywaji kinywaji katika hiyo Bar au Grocery na wewe ukae ukiwawatazama bila kunywa hadi wamalize.  10. Kumcheka mnywaji mwenzako akiwa amelewa ni kosa la jinai, unachotakiwa kufanya ni kumpongeza kwa kazi nzito aliyoifanya, adhabu yake ni kutolewa kwenye bar muda wa dakika moja.

  Tafadhali kama kuna mwanye amendments aniletee kabla hatujapeleka muswada huu kwenye bunge linaloendelea ambalo watakuwepo wasanii kibao akiwemo.................
   
 2. G

  GTesha JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rubbish
   
 3. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wallah nimekutana na Ahmada laivu, njoooni mumuone...
   
 4. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Na wewe umedharau sheria za chama cha walevi. Adhabu yako upigwe ban ya maisha.
  Hahahahaaaaaaa...
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Umeona eehhh
  Ahmada sijui yuko wapi


  Huyo anastahili ban ya maisha kwa kudharau sheria za walevi
   
Loading...