Sheria mpya, Jeshi la zima moto na uokoaji kupewa silaha za kazi gani

Kuna sehemu hatarishi ambapo wanahitaji kuwa na silaha hasa pale panapotokea majeruhi na wahudumu wa Ambulance wanakuwepo na kushindwa kufanya kazi zao vizuri

Bill kama hii ilipitishwa mda sasa na wanatuhusiwa kuwa na silaha

Muongo.

Amandla...
 
Zimamoto ni fani inayohitaji umakini sana na uweledi wa hali ya juu. Wakitakiwa walinde pia amani basi itawashinda. Pili haina mantik. Hawa wataingiaje kwenye maeneo yenye moto mkali huku wamebeba silaha? Kama hii taarifa ni ya kweli basi Bunge letu litakuwa limefikia a new low.

Amandla...
 
Kwa uhamiaji ni sawa kabisa inawalazimu kwa ufanisi wa kazi zao lakini kwa uokoaji kuna walakini labda kama wanaenda kuokoa mali kwenye mazingira ya vita au vitani. Kitendo cha wao kutengewa bajeti ya kutembea na silaha mitaani ni matumizi mabaya sana ya fedha ni bora ielekezwe kwa mafunzo kwa wakulima wa chini jinsi watakavyoongeza thamani kwenye mazao yao. Inasikitisha sana tukienda kuwatembelea ndugu zetu vijijini mtu analima zaidi ya miaka 10 yeye anapata mazao ya kula tu na hela ya kujikimu kidogo ila wanaofaidika ni walanguzi na wafanyabiashara tu wa mijini ila mkulima hata akiumwa hela ya kujitibu kwake ni shida na hata akizeeka hapati kiinua mgongo asubiri kufa na njaa wala hana msaada wowote toka serikalini.
Hata uhamiaji hawatakiwi kubeba silaha za moto, ikibidi inahijiwa silaha inatatakiwa waombe backup kwa polisi.
 
Nikuulize, ukikuta gari limepinduka huwa askari polisi wanalinda sehemu hiyo kwanini?

Kwa mfano ile ajali ya gari la mafuta iliyoua watu Morogoro unakumbuka kwamba askari walilaumiwa kwa kutolinda eneo lile ili wananchi wasivamie?

Soma upya jina la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, utaona wanahitaji kujilinda na kulinda watu wakati wanapotekeleza shughuli za kuzima moto na kuokoa watu.
Jukumu la msingi limewashinda, waanze kulinda na mali? Kuna dhambi gani askari polisi kuwepo eneo la ajali pamoja na zima moto?

Hawahitaji hata manati, leo pekee nimesikia kuna eneo nyumba imeteketea yote mida ya jioni saa 12, gari ya fire imefika saa nne usiku, moto ulishasahaulika. Silaha za nini hawa?

Silaha hazitasahihisha failure zao.
 
Nikuulize, ukikuta gari limepinduka huwa askari polisi wanalinda sehemu hiyo kwanini?

Kwa mfano ile ajali ya gari la mafuta iliyoua watu Morogoro unakumbuka kwamba askari walilaumiwa kwa kutolinda eneo lile ili wananchi wasivamie?

Soma upya jina la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, utaona wanahitaji kujilinda na kulinda watu wakati wanapotekeleza shughuli za kuzima moto na kuokoa watu.
Kwahiyo wanaokuja kuiba wanatakiwa wapigwe risasi?hizo Hela za kununua mabunduki na mabomu nunuenu vifaa vya kutosha na magari ya kutosha kuliko mabunduki

Sent from my Lenovo K10a40 using JamiiForums mobile app
 
Immigration
Fire
Sasa Hivi Wanatakiwa Kwenda Kununua Mitutu Huko Ughaibuni Lazima Kuna Ongezeko La Budget Kupata Ghala La Kuhifadhi Mitutu

Haaa Ukweli Zimamoto Wanahitaji Vitendea Kazi Siyo Mitutu
Hii Haina Tofauti Na Kashfa Ya Lugola Kuzima Moto Kwa Drones Haa
Wataishia Kuporwa hizo Silaha na akina Hamza
 
Nikuulize, ukikuta gari limepinduka huwa askari polisi wanalinda sehemu hiyo kwanini?

Kwa mfano ile ajali ya gari la mafuta iliyoua watu Morogoro unakumbuka kwamba askari walilaumiwa kwa kutolinda eneo lile ili wananchi wasivamie?

Soma upya jina la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, utaona wanahitaji kujilinda na kulinda watu wakati wanapotekeleza shughuli za kuzima moto na kuokoa watu.
Sasa Kazi ya Polisi itakuwa ni nini ?
Zimamoto waishie Ku focus kwenye Ku rescue Majanga, kama kuna haja ya Support ya Ulinzi ndio Polisi wanatokea kwenye picha
Unless wame merge Zimamoto iwe Sehemu ya Polisi sasa
Naona Mpaka Uhamiaji eti nao wanaomba kufanya Operations Mipakani wakiwa na Silaha za Moto, wanaingilia Scope za Polisi
 
Mleta mada ahsante sana ingawa mada yako unashambuliwa wewe badala wewe kupewa elimu. Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ya 2007 ipi wazi katika ili( Fire and Rescue Force Act)
Jeshi lazma moto pamoja na uokoaji..Lima wajibu wa kuweka mazingira ya amani na Utulivu,lakini pia kupambana uharifu kama matendo ya Ugaidi. Sasa jiulize kweli ili jeshi litaweza kupambana na hayo matatizo bila ya kua na silaha?
Waziri yupo sahihi sana kwa kuzingatia sheria.
Basi na Sisi Raia tupewe Silaha Maana Sheria inasema Kila Mtu yafaa ashiriki kwenye ulinzi
 
Kwa uhamiaji ni sawa kabisa inawalazimu kwa ufanisi wa kazi zao lakini kwa uokoaji kuna walakini labda kama wanaenda kuokoa mali kwenye mazingira ya vita au vitani. Kitendo cha wao kutengewa bajeti ya kutembea na silaha mitaani ni matumizi mabaya sana ya fedha ni bora ielekezwe kwa mafunzo kwa wakulima wa chini jinsi watakavyoongeza thamani kwenye mazao yao. Inasikitisha sana tukienda kuwatembelea ndugu zetu vijijini mtu analima zaidi ya miaka 10 yeye anapata mazao ya kula tu na hela ya kujikimu kidogo ila wanaofaidika ni walanguzi na wafanyabiashara tu wa mijini ila mkulima hata akiumwa hela ya kujitibu kwake ni shida na hata akizeeka hapati kiinua mgongo asubiri kufa na njaa wala hana msaada wowote toka serikalini.
Hv kuna tofaut kati ya jeshi na polisi? Au ukitamka ujumla wake ndio unatamka kama jeshi. Mm hii inanichanganya wakat mwingne wee mzee
 
Nikuulize, ukikuta gari limepinduka huwa askari polisi wanalinda sehemu hiyo kwanini?

Kwa mfano ile ajali ya gari la mafuta iliyoua watu Morogoro unakumbuka kwamba askari walilaumiwa kwa kutolinda eneo lile ili wananchi wasivamie?

Soma upya jina la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, utaona wanahitaji kujilinda na kulinda watu wakati wanapotekeleza shughuli za kuzima moto na kuokoa watu.
Polisi wana kazi gani?
Uliona wapi duniani zimamoto wakibeba silaha? Kuna jeshi la wokovu, Red Cross ambao huenda vitani kuokoa watu uliona wapi Red Cross wamebeba silaha?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni mpango mkakati wa kupiga
Habari wakuu
Bunge liko katika mchakato wa kupitisha muswada wa sheria mpya ambayo itaisimika jeshi la zima moto na uokoaji kuwa jeshi kamili
Sheria hiyo inaelekeza kuwa jeshi hilo litapewa silaha (bunduki) zake kama yalivyo majeshi mengine hapa nchini

maswali ya kujiuliza, Hivi katika shughuli za kuzima moto na uokoaji kunahitajika silaha kwa matumizi gani?

Serikali haioni inaenda kuongeza gharama kwa kununua silaha kwa jeshi la zimamoto?

Zimamoto inahitaji zaidi vifaa vya kuzimia moto, kama magari na fire extinguishing tools zote
Hela. Ufisadi mkubwa uko kwenye manunuzi a.k.a procurement
 
Back
Top Bottom