HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,077
- 1,392
Jamii inayoumwa huchagua viongozi wanaoumwa.
Kipaumbele kikubwa cha jeshi la zima moto kuwa imara ni upatikanaji wa vifaa bora na vya kisasa katika shughuli zake, waongeze helicopter za jeshi la zimamoto zitakazoweza kutoa huduma kama vile kuungua kwa msitu,meli,ghorofa nk.
Sioni ubaya wa kuwapa silaha kama kifaa. Ila sio first priority katika suala zima la planning and implementation na wasisahau hizi sheria baada ya miaka 5 ndiyo zinakuja kuleta utata tena
Wanapewa silaha ili wawe multipurpose.
Mambo mangapi ya hovyo yamepitishwa na Bunge?Imani yako tu hiyo.
Usitake kiandikwe kila kitu humu.
Unaweza kuwa na uwezo mdogo wa kuelewa haya mambo sasa huamini wenzako ndio maana unaona kama unajua sana wakati si kweli
Sent from my SM-N960N using JamiiForums mobile app