Sherehe njema

Sherehe njema

Na wewe pia, uje na nyingi bhana
images
 
Habari wana cc, nawatakia mwisho wa mwaka mzuri. Pia msherekee kwa amani mwaka mpya, nitakosekana kwa siku 2 tatu hapa jukwaani. Kwa kuwa naenda kuzisaka za kuanza kutumia 2014. Advice: dont drink and drive, even though you havent a car drive safely your body.

Hii imekaa sawasawa kabisa!
 
Back
Top Bottom