Shemu atamuua sister, nifanyaje?

Shemu atamuua sister, nifanyaje?

Hata hivyo kila anayefanya anaambukizwa? Wangekuwa wamekufa wote kama kila ukimwona na mwanamke kaambukizwa. Kinga zipo kwa ajiri ya nini

nahisi mpaka hapo ushachangia kinamna fulani...

kama umeshindwa kumwambia toka mapema, huwezi jua kama tayari keshaambukizwa ama la!

shtuka....! tuko wangapi?
 
No Wakaa wakubali waache umalaya wote maana na yeye kakiri wanatanua wote

huo utata, naiona ndoa ya dada yako ikisambaratika, mytake: kaa na shemeji yako mwambie ajiheshimu aache umalaya na uzinzi wakati yuko kwenye ndoa, hapo utakuwa umemaliza mjadala
 
Muulize dadaako je akijagundua kuwa mumewe anatoka nje atafanyaje jibu litakupa mwanga kama umwambie au la. Wanawake wengi wanapenda wanaume ambao hawajatulia

Mkuu siamini kama ni kweli wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye hajatulia sababu binadamu asilimia kubwa tunaubinafsi, yani ile hali ya kutamani kitu kizuri umiliki mwenyewe.!! Labda ulimanisha wanapenda wanaume wenye mvuto ila kwa kuwa wenye mvuto wanakodolewa macho na kila mwanamke ambaye damu inachemka vzuri, so wanajikuta inawalazimu kushea bila kupenda!! Ila we ndo unaona wanapenda vicheche wakati sivyo!!
 
Hakikisha tu maamuzi haya hutoyajutia. Na kama unategemea kila kitu toka Kwa shemeji (yaani unatunzwa) basi hiki ndo kinasababisha ushindwe kumueleza ukweli kuwa Tabia yake Ni mbaya. Yaani anagharamia hadi VIDOSHO vyako!!! Ama hakika na wewe duh! Umezaliwa MKOA gani wewe? Isije kuwa Ni wale ambao dada akiolewa,bwanaharusi anakabidhiwa na shemeji mtu (mke au mume) akalee.
 
Mhhh hard tym,kwani hao totoz si kaanza nao siku nyingi?NI TABIA YAKE,my take:leave him alone,FANYA YAKO,if i were the sis,bora nisijue,presha za ninii?cz sidhani kama ukimuambia aache itakuwa na real impact kiasi hko
 
Subiri kwanza mpaka jamaa atakapotosheka ndiyo umwaambie dada yako...............
 
We mwenyewe muhuni badilika kwanza wewe "change, it begins with u"
 
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.

Mpe jamaa "live" kwamba aache ujinga wake kabla hajakuulia dadako, mwambie sasa imetosha!
 
badili viwanja....endelea kula maisha
 
Hata hivyo kila anayefanya anaambukizwa? Wangekuwa wamekufa wote kama kila ukimwona na mwanamke kaambukizwa. Kinga zipo kwa ajiri ya nini

did you understand me? re-read my statement.. nilisema hivi.. '' huwezi jua kam ameambukizwa ama la''

halafu nikasema, shtuka.. tuko wangapi?

mkuu hiyo ni kum-alert achukue hatua ili ajichunge, wangapi wametumia kinga lakini wakajikuta wameambukizwa?

mimi sikuconclude kiujumla kwamba mshkaji anao, la hasha!
 
Unamuhofia Dada yako, unajisahau mwenyewe, badilika kwanza wewe
 
wanawake wengn huwa wajinga ukimwambia naye atakuja kukutaja akibanwa na jamaa alafu jamaa atakuona snich,mwanamke n mwanamke2 nina experience nao kaka

Ni heri uone snitch kuliko uone ndugu yako anataka teketea afu we umenyamaza kmya unafurahia ofa za pombe...helll noooo.mijanaume mingne yakera kweli gashhhh
 
Ni heri uone snitch kuliko uone ndugu yako anataka teketea afu we umenyamaza kmya unafurahia ofa za pombe...helll noooo.mijanaume mingne yakera kweli gashhhh

acha kashfa wewe, nani kasema napigwa ofa za pombe? hivi wewe unajua maana ya kuzungusha raundi? hapa mnakuwa mnalipa kwa kupokezana kama hujui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom