Shemu atamuua sister, nifanyaje?

Shemu atamuua sister, nifanyaje?

kaa ktako funguka kwa shem wako , umwambie kuhusu madhara yanayoweza kutokea kutokana na kupenda totoz kama vile kulepeleka magonjwa kwa mkewe, siku akifumwa na ndoa ndo mwisho , familia itasambaratika hata wewe na yeye urafiki utapotea tu!

asante kwa ushauri.
 
Wewe umeumbwa kuwa mlinzi wa dada yako?
Je, una uhakika kuwa dada yako hakujua hilo wakati anaamua kuolewa nae?
Je, una uhakika kuwa dada yako naye hagongani viwanja na mawifi zake?
Dada yako aliwahi kukupa kazi ya kumchunga mumewe?

Ushauri: Waache watu na maisha yao...

sina majibu ya maswali yako.
 
kaa ktako funguka kwa shem wako , umwambie kuhusu madhara yanayoweza kutokea kutokana na kupenda totoz kama vile kulepeleka magonjwa kwa mkewe, siku akifumwa na ndoa ndo mwisho , familia itasambaratika hata wewe na yeye urafiki utapotea tu!

ni kweli mkuu...
 
annza kuacha wewe hao totoz kisha ndio umshauri shemegi yako....

mkuu ushauri wako umeenda skuli;

mtoa ada naye atajiua mwenyewe kwakuwa naye anapenda totoz; afterall ujana maji ya moto - binafsi siwezi kukaa na dem alafu nikawa na ndugu yeyote wa mke wangu - naona kama najidhalilisha mbele ya hao ndugu wa mke wangu.
 
Tabia yako na ya shemeji yako zinafanana,acha kwanza wewe kuua sister wa wenzako ndiyo uje tukushauri.
 
Mnunulie Shemeji zana za kutosha na umsisitize asiwe anasahau kuzitumia kwenye kila mechi.....
 
Shemejio kakudharau, atakupitishiaje totoz zake mbele yako na hali kamwoa dada yako. Keshakuona poyoyo siku miiiiingi.
Eti siku zingine anabeba gharama, hiyo gharama ndio anakulipa hiyo 'silence' yako.

Mijanamume mingine mipoyoyo hadi basi!
 
Kwanini uliachia mda wote huo mpaka sasa ndio unasema? huyo dadako ni baba na mama mmoja au wa hiyari? sababu kama baba na mama mmoja sidhami kama ungeweza kumeza ukachukua upande wa rafiki na dada yako ukamtenga....
na jaribu kupunguza au kubadili hivyo viwanja huyu shem/rafiki anakuona wewe hujali na sijui kamatathmini vp,manake haelekei wewe kukaa na wasichana wengine na wewe ukakaa hapo kama vile huyo ni kaka yako.....pole kama ntakua nimekukwaza....

hujanikwaza na nimeuchukua ushauri wako, nimefanya makosa ya ufundi.
 
Mwambie shemeji yako achane na hizo tabia lakini pia na wewe tafuta mmoja utulie nae.
Najua haya yote mnayofanya mnaongozwa na ibilisi wa brewaries punguzeni.
 
kwa hivyo videmu vyenu mtataanza kujiua wewe na shem wako then.......wake zenu
 
Na hao totos unaowachukua wewe pia wana ndugu zao.hvy acheni mchezo huo wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom