Shemu atamuua sister, nifanyaje?

Shemu atamuua sister, nifanyaje?

Anza kumpiga vijembe vya mbali vya kuwa na wanawake wa nje wakati kaoa,ukiona haelekei mwingi direct huyo mwanaume mwenzako mwabie ukweli kishkaji zaidi mpe madhara ya kuwa na mademu wa nje na mpe faida ya kuwa na mke wake tu,kishkaji zaidi kama muelewa atakuelewa kama sio ndo atamind sister huitaji kumwambia coz yy sio mtenda anaehitaji kubadilika ni huyo shem wako.!,
 
You also you need to read my statement and understand neno hata hivyo kama unajua kiswahili ulitakiwa kuelewa alina conclusion, in English I could have said "not always" and that word not always does not make conclusion as you want to make it understood. Sorry but it was a jokely comment and that is JF mkuu

did you understand me? re-read my statement.. nilisema hivi.. '' huwezi jua kam ameambukizwa ama la''

halafu nikasema, shtuka.. tuko wangapi?

mkuu hiyo ni kum-alert achukue hatua ili ajichunge, wangapi wametumia kinga lakini wakajikuta wameambukizwa?

mimi sikuconclude kiujumla kwamba mshkaji anao, la hasha!
 
You also you need to read my statement and understand neno hata hivyo kama unajua kiswahili ulitakiwa kuelewa alina conclusion, in English I could have said "not always" and that word not always does not make conclusion as you want to make it understood. Sorry but it was a jokely comment and that is JF mkuu

ok man, iam the boss remember! dont argue much with your employer! teh!
 
Mtonye shem anavyofanya sio atakuachia wajomba utashindwa kuwalea aki R.I.P. na wewe acha totoz tafuta mke uoe kama shemeji yako then wote mtakuwa safe..Wewe, shem wako na dada yako..
 
Mshtaki kwa kova kma mko dar kwake n jambo dogo, atamfunza adabu kwa taarifa z kiintelijensia bila uchunguzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom