Miaghay
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,535
- 493
kwahiyo bora huyo dadake afe kwa ukimwi?Ujue wanawake wengi hawajui kuweka siri
ni lazima atamwambia tu mumewe siku wakipatana.

Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
Huenda hata dada yako alikuwa ni mmoja wa Totoz wakat fulani,so waache wenake wajinafasi kwa raha zao, maisha yenyewe yako wapi?
Mlevi kumshauri mlevi mwenzake aache pombe, lol!
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
Ulichoniudhi ni kushirikiana na shemejiyo kwenye mambo hayo, otherwise hutakiwi kujihusisha na mapenzi ya watu, mwache dada yako ajionee mwenyewe, inawezekana alimpendea huo huo ukicheche, kwa hiyo kaa mbali.
Anafikiri yeye hizo totoz anazotoka nazo hazina kaka. Pambaf!
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na totoz mpyaaaa, kwa muda mrefu nimevumilia, tukigongana kiwanja basi tunakunywa na totoz zetu wakati mwingine gharama anabeba yeye na wakati mwingine mimi, kwa sasa uzalendo umenishinda maana jamaa kazidi kubadili totoz, mwishowe atamuua sister ila pa kuanzia sina maana jamaa ni mshikaji kweli kweli na hata nikimuambia sister atanisikiliza? au ndo itakuwa chuki mimi na shem wangu mpenda totoz?.
Sure, lakini pointi ya msingi hapa mkuu ni kuepusha kuingilia mapenzi ya watu, mapenzi hayashauriki, huo ni ukweli usiopingika.Kingine mkuu si hajabu huyo shemeji yake alimuoa dada yake kutokea uko baa. pili kakili kabisa kwamba wote ni watu wa viwanja je mwenyewe mbona hajaacha kuchukua totoz ndo aone ya shemeji yake. Je yeye hataua dada wa watu wengine?