Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Anachozungumza mtoa mada ni kuhusu kujenga ustahimilivu kati yako na mashemeji.
Ni common decency tu. Nidhamu ya kawaida kabisa!
Wengi wanaompinga mtoa mada hata kuoa huwajaoa. Wamenyoa viduku hapo walipo na wananatikisa makalio unadhani mwisho wa dunia ni Rombo!
They need to learn to be a decent human being! Itawasaidia.
Nimeipenda hii mkuu naichukua na kuifanyia kaziMambo vp jamiiforums.
Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni.
Just imagine, kwa akili ile ya kitoto unajua kabisa huyu ndio anataka kumchukua dada yangu aende naye kwake awe analala naye siku zote for the rest of their lives. Huwaga kunakuwa na hali fulani hivi ya wivu kwa siku za kwanza ile baadae unaona kawaida tu na maisha yanaendelea.
Kuna watu watakuwa wanajiuliza wivu huu unatokea wapi wakati huyu ni kaka na dada yake na kamwe hawawezi kuoana. Wakaka wengi wanakuwaga na wivu na dada zao na mara nyingi jaribu kuangali watoto wakubwa wa kiume wanavyowachapa wadogo zao wa kike.
Huwa wanawachapa pindi wakisikia wadogo zao wapo katika uhusiano na vijana fulani wa mtaani hapo ambao ni washkaji zao wanaokaa wote vijiweni au siku dada mdogo amechelewa kurudi nyumbani bila maelezo ya kutosha. Hiyo ni aina ya wivu wa asili ambao wanaume wengi huwa nao dhidi ya ndugu zao wa kike wakiwa katika uchumba na shemeji zao.
BACK TO THE TOPIC
=====
Ewe kijana ambaye bado haujaoa mpaka sasa, siku utakapooa, shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao. Kalale nao chumba kimoja mpige story mpaka asubuhi.
Kama wao ni watu wa tungi kama wewe, siku hiyo nunua beer, choma nyama, kunyweni mlewe, msikilize mziki. Kama ni watu wa mpira, wachukue uende nao sehemu wanayoonesha mpira tofauti na hapo kwako.
Nenda nao hata huukoooo city center Kariakoo/Posta, angalieni mpira kula nao nyama choma, inelata raha na heshima sana. Unajua, unapoona katika familia fulani, wewe unakuwa ni sehemu ya familia ile. Hivi wewe kijana unalijua hili?
Kama mama mkwe wako ana watoto 3 wa kiume, basi wewe kama shemeji wa familia ile unakuwa mtoto wake wa 4. Kwa hiyo wale shemeji zako wa kiume wanakuwa brothers to you.
Wanakuwa brothers alafu washkaji zako, tena kama umri unalingana ndio raha zaidi kwa maana hata stories pamoja na interests zinaweza kufanana kwa sehemu kubwa.
Haileti maana kabisa.Mambo vp jamiiforums.

Kwanini boss?...Umeanza kuchanganyikiwa?
Sawa tu ila kama ndio ulikuwa safari mwezi mzima na umerudi ukawakuta, uchangamfu lazima utapungua kidogo...Mambo vp jamiiforums.

Ndio maana nikasema kwa vijana ambao wanatarajia kuoa. Shemeji zako wa kiume ni kaka zako piaKuna kaukweli,ila inategemeana na umri pia.
Kuna mambo mengine ukifika umri flani unaacha.
Ukipotezea siku moja ya kwanza kuna ubaya gani mzee baba?...Acha ufala dogo..yani nilipe mahari wakija kwangu tena nikalale nao ili iweje ntalala na dada yao wajue kweli nilichokitole mahari nakitendea kazi
Sio kila mashemeji tuzoeane..mipaka itakuwepo tu..watazoeana na maanko zao.Ukipotezea siku moja ya kwanza kuna ubaya gani mzee baba?...
Siku moja ni nzito, kuna watu lazima apige mkia kila siku.Ukipotezea siku moja ya kwanza kuna ubaya gani mzee baba?...