Shemeji yangu huyu ananitega!

Mkuu mbona wewe mbinasfi sana? Yaani goti tu waona kakupenda? Ulitaka afanyaje?
Kemea pepo hilo
 
Huyu jamaa ana weakness ya poor self esteem so hata mwanamke aki pretend tu kumheshimu, ana'fall in love'. Inawezekana sana katika ukuaji wake alikuwa anapondwa sana na wazazi ay peers wake waka demolish self esteem yake completely. With these kinds of husbands, you really need to humble yourself to bits and be very sensitive to his feelings and always be on the watch cz you might do a simple action yeye aka perceive kuwa hauna heshima just because he has a very poor self esteem.

Namhurumia mkewe kwa sababu hana appreciation. Mkewe anadamka na anamwacha bado kalala ila yeye anataka aje atandike kitanda. Anadamka ili yeye na wanawe wawe na maisha ya nafuu ila jamaa bado haelewi kisa eti hajamwekea chai mezani!!! Seriously una matatizo kaka yangu na unakoelekea kubaya. Changudoa akigundua hili tu, umeliwa, umeisha kabisaaaa cz atakufanyia yote unayoyataka na yeye atavuna yote kutoka kwako.
 
Naweza kuwa nimekurupuka kidogo kwani sijasoma thread za wachangiaji wote. Ila nashangaa kitu kimoja tu, Ina maana mkeo ameshirikiana na wewe kumruhusu mdogo wake aingi mpaka chumbani kwenu, halafu atandike hata kitanda, halafu akuandalie na nguo za kuvaa? Au nguo zako zinaishi kwenye chumba cha mdogo wako? mswaki wako unaishi wapi? kwa nini huyo shemeji yako amepewa uhuru uliopitiliza hivyo? je hizo actons zote ulizozitaja mkeo anazijua? nina maswali mengi kuliko majibu.
 
Dada wa mkeo ni mkeo. Kuliko utafune vimeo nje ni afadhali umkule shemejio.

Za mbayuwayu changanya na zako. Tafakari, chukua hatua
Huyu ndie babu Asprin, mngine photocopy.
 
Last edited by a moderator:
Hapo umeshafanya dhambi zote, ustake kutafuta loophole to legalize your deeds
 
Angalia usije mzimia taa mtoto wa watu!!!
 
shemeji shemeji huku wa zima taaa!!!!!!!!!, teh teh teh
 
Kweli wanaume ni hatari sana
 
Come to your sense Brother, you are the Father, you about to get lost!
 
bora uendelee hivyo hivyo jaribu kufanya ujinga uone kitu nitakachokufanyia. sitaki tamaa za kiivyo kabisa.
 

Kama anaelekea na kakaa vizuri,na hana noma,piga mashineeeeee!
 
Ukishakuwa na watoto, haya mambo ya ufuska unaacha.
Usije kuwaadhibu watoto bure, ukishapata kojo utajilaumu na kutamani dunia ipasuke .... don't do it brah!!!!
 

Mkeo ni wa Mkoa gani? Inawezekana mila au mafundisho ya kwao ni kuwa ana uhuru wa kuchukuwa nafasi ya dada yake wakati ukiwa hupo. Inakuwaje dada mtu anaruhusu yote hayo?
 
Kweli wanaume ni hatari sana

Nahisi kama ni kinyume kwa hili. Hivyo nimruhusu ndugu yangu wa kiume awe anakununulia hadi chupi, sha nga na nikiondoka awe anaingia chumbani mwako utaliona jambo la kawaida hapo? Hiyo ni dharau ya mke kwa mumewe kufikiria kuwa ana roho ya jiwe kupuuzia mazuri yote anayofanyiwa na mwanamke mwengine ambayo kwa kawaida mambo hayo hufanywa na Mke. Hivyo unafikiri ndowa ni kitendo cha kitandani tu na kumalizikia hapo. Hivyo kama wewe mwanamke utaridhika iwapo mumeo anatowa ucheshi na kujali mwanamke mwengine mradi tu usiku mnalala kitanda kimoja?
 
hili jamaaa inaonekana linapenda kutamani. acha tamaaa swahiba na ukitaka kuharibu jaribu kumtongoza uone kama hajakuchomolea ubaki na miaibu yako sasa sijui utamtimua? yeye anafanya hivyo kwa kujua wewe ndio msaada kwake katika elimu anayopata chuoni kumbe wewe ushaanza kuhisi anakutega
 
Kama nimekuelewa vizuri we umeshamtamani na inawezekana umeshachukua hatua hapa unatafuta justification tu, kwani kupigiwa magoti ndio kutegwa si heshima tu? We endelea kunufaika ila kuwa makini wife akigundua itakuwa noma.
 
akili zipo chini unategemea nini?? uzinzi tu unawazia huna lolote.
 

Hapa tatizo ni ni wewe na shemeji yako ingawa wewe ndiyo tatizo kubwa. Utavunja ndoa yako bure na kuishia kujuta. Muondoe akaishi chuoni badala ya kujiingiza kwenye vishawishi vya kijinga. Kama uta-surrender na ikagundulika-itagundulika tu maana mapenzi hayana kificho-ndoa yako itayumba. Kwanza utachukiwa na mkeo na ndugu zake na baadaye huyo huyo unayeona anakupenda. Shemeji yako ni mshamba anayedhani ukimuoa atafaidi kama dada yake. Ni mila chafu na isitoshe hamtafika mbali. Pia ni tabia mbaya na ukosefu wa maadili kuruhusu shemeji yako chumbani kwenu. Ningekuwa wewe kama hana pa kuishi ningemrudisha kwao haraka maana gharama ya kuvunjika ndoa yako ni kubwa kuliko mafanikio yako. Unadhani akiishavunja ndoa yako atawalea watoto wa dada yake? Angekuwa siyo mroho na mlafi na mbinafsi kiasi hicho angeangalia usalama wa dada yake na watoto wenu kabla ya tamaa za kijinga za mwili. Muondoe hata kesho au kama unaweza jenga mazingira ya baba na mtoto badala ya mtu na shemeji yake. Nadhani hii dozi itakusaidia kama una nia ya kuepuka mtego na kishawishi hichi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…