Shemeji yangu hapandwi na mzuka, mpaka apige CHABO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shemeji yangu hapandwi na mzuka, mpaka apige CHABO.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiranja Mkuu, Jul 14, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nina rafiki yangu ambaye nimemtangulia kuoa.
  Mimi ndiye niliyekuwa bestman siku ya harusi yake.
  Jana jioni kaniletea nung'uniko kuwa mkewe hapandwi na mshawasha wa kufanya mapenzi hadi apite chumba cha jirani kuwaangalia wakijifagadua.
  Jamaa anaomba msaada ili mkewe aweze kurudi katika hali ya kawaida, anasema ameshapita kwa wataalam wa matatizo ya akili bila mafanikio.
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ohoooooooooooo! DEMU wa viwanja huyo!

  Bas hamana shaka mwambie wakubalianae awe anamleta mtu hapo wanajiFAGADUA JF kwa misamiati.! Kumegana, kujifagadua! kwanza wakati mke akichabo then wanamalizia............:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mpeleke kwa waganga wa mitishamba kama matibabu ya kizungu yameshindikana
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Si mnunue tu DVD ya X 'mchabo' mnavyotaka kwenye tiivii yenu kuliko kwenda kwenye madirisha ya watu? Mtamwagiwa maji ya moto nyinyi, shauri lenu! :A S tongue: :A S tongue:
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh shost mbona ana tabia zakiume?????????
  mwanasaikolojia nenden tena ata km aikufanya kaz last tym!!!!!!!!
  muombe mungu thats sign of demon............waone wachungaji watakusaidia!!!!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Hizo ni dalili za mapepo.
  Hivi inakuwaje mama mtu mzima kwenda kuning'inia kwenye madirishani kama popo sabebe?
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Waweke mikanda/Picha ya XXX hapo mzuka utampanda tu
   
 8. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh! teh teh teh.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Tabia zipi za kiume hapo?
   
 10. m

  mshemwa steven Member

  #10
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa kikubwa kabisa kwanza ni kwa mda gani? tena unatakiwa kwenda kwa mwanasaikolojia au daktari alie bobea mambo ya akina mama da pole sana mkubwa
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  thats not a solution,
  what man need is how to end the problems,
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Stori za kupika hizi.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jul 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Masimulizi mengine bana...yanaweza kukufanya uanze kunyofoa nywele zako moja baada ya nyingine. Sasa ina maana hao majirani huacha mlango wazi ama? Au huwa anawalia chabo kupitia dirishani?
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mmmhhh!
   
 15. l

  luteli New Member

  #15
  Jul 16, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh!duh mimi nina rafiki yangu ndo mchezo wake tokea shule na mpaka sasa,na sasa ameoa sijui kama ameachaa au la! na nimember humu nadhani ananisoma!
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mh! kweli kila mtu na udhaifu wake.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu, that is will also end the problem!!! wakuwa na "vitafunio" wanweza kunywa chai yao kirahisi zaidi

  BTW, hiyo ni psychosis aisee
   
 18. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Halafu je, wanapokuwa wanafanya wale majirani wanatoa mwaliko? Je, kuhitaji kwao kunaendana na kule kwa majirani? Mbona haiiingii akilini?
  Please re-form.
   
 19. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Yawezekana pia mvuto umeisha kwa mume, mama anahitaji kachumbari ugali upite. Kazi kwa mume kurekebisha mambo.
   
 20. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Mpeleke Uvinza
   
Loading...