Shemeji yangu hapandwi na mzuka, mpaka apige CHABO.

Huyo mwenye tabia hizo anayo time table ya hao jirani zake naowapiga chabo?

"Duniani kuna mambo" alijisemea mwandishi Bwana Msa.
 
ndio maana wanasema biashara hiyo ikiingilia kati watu akili za kawaida zinahama, sasa huyo baba anatoa ruhusa kabisa mkewe akachungulie watu?! Akipigwa huko je?
 
ila chabo ina addiction mbaya sana.
Tukiwa sekondari, head master wetu alikamatwa kwenye mabafu ya wasichana akiwachungulia.
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwa familia yake, hasa watoto wake ambao nao walikuwa ni wanafunzi wa hiyo shule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom