Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

Ukishamkanyaga huyo mwanamke basi unapaswa ujue urafiki na mumewe umekufa hata Kama hatajua lakini nafsi itakusuta hadi uanze kumkwepa!
 
Uo ni mtego, kama iyo no hukua nayo kabla itakua ni jamaa mwenywe amehisi unatembea na mkewe...sasa anachunguza!!!
sasa we jilengeshe tu
 
Kwa nini usiblock namba yake, akikutumia sms ziwe hazifiki tu na wewe ujishangalishe kwa nini hazifiki? Siku ukibambwa na hizo sms aisee, utajuta. Una hamu ya kupimiwa chakula cha usiku na mama chanji eeh?
 
Mwambie hupendi msg za matusi, simple and clear!kwani hili nalo linahitaji masters?
 
Yani leo thread za kuwasakama wanawake ni nyingi
"
Inaonekana wanawake wamezidi kutamani kutoka nje ya ndoa au?
 
Hivi huku bin adam tunakoelekea ni wapi lol???

Watu hawaridhiki kabisa na walivyonavyo ati kila mtu anatamani aonje na cha kuibaa..

Mbaya Zaidi wengi wao wanataka vya kuiba vya watu wa karibu daaaaa.... (Rafiki, ndugu n.k).

Hapa ndo napo uheshimu ule msemo wa TRUST NO BODY... ..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yani leo thread za kuwasakama wanawake ni nyingi
"
Inaonekana wanawake wamezidi kutamani kutoka nje ya ndoa au?

Hapana! Kwa ujumla takwimu zinaonesha wanaume wanatoka nje ya ndoa zao kwa kiasi kikubwa kuliko wanawake ila wanawake wengi ndio wanaowashawishi wanaume kutoka nje ya ndoa kuliko wanaume. Kama unasafiri sana mikoani utabaini hili. Kwa sasa hakuna mkoa utakaotembelea nchi hii hata Zanzibar usikute malaya au changudoa wakitafuta wanaume.
 
Zingatia sana ushauri wa Makene lakini pia jiulize kama mlishawahi kubadilisha na sms zenye mzaha pengine uliopitiliza inawezekana alichosema Majigo kina ukweli!

Simple kabisa mwambie tayari zawadi umempatia ile ile aliyoizowea na huwa anaifurahia kupita kiasi na kwamba hapo awali ulishajaribu zawadi tofauti tofauti kama alivyopendekeza lakini hakuzifurahia kama ya nyumbani aliyoizowea..., Naamini atakoma na asipokoma mtolee uvivu kwamba wewe si aina ya wanaume wapenda wake za wenyewe...., ni hata ri sana aisee
 
Last edited by a moderator:
ebwana kama kweli unamheshimu huyo jamaa na wewe pia na urafiki wenu udumu mkanye huyo mwanamke... anakoenda sio!!! UTAKUJA JUTA FOR THE REST OF YOUR LIFE na sio kwa Rafiki yako tu hata Kwa MKEO.
 
yaan hapoo hakuna kuuliza anakutaka na anashindwa tu kukwambia akaona aingize kwenye utani wa msg, achana nae na njia rahisi mwambie shem achana na msg hizi mi sizipendi halafu zimeshaniletea matatizo kwa wife,.mbona kama ni mwelewa atakuelewa tu? ila ukikaa kimya utazipata mpaka inbox itajaa.. rudisha heshima yako, mwambie kile unachoona ni sahihi, okoa ndoa yako na yake, coz kama mm ni mkeo nikikufuma na hizo msg sijui utanieleza vip nikuelewe coz mtu mnaeheshimiana hawez fanya hivyo.
 
Keshashikwa na pepo la ngono huyo,so anakuandalia jehanum....na mtu wa kwenda naye kakuchagua wewe, so kaa chonjo
 
Huhitaji Prof wa mapenzi wala muimbaji wa Bongo Flava kuelewa kuwa huyo shemeji yako anataka kiungo chako (Kikojoleo chako) na kile chake vipate kugonganishwa. Kama nyumbani kwako kuna panya, basi nakushauri ukubari matakwa yake kwani mke wa mtu ni sumu. na anaweza kukusaidia kuua panya kwako.

Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana.

Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida.

Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa tukitumiana.Wiki iliyopita niliona sms imeingia kwenye simu yangu, nikasoma, ilikuwa ni ya vichekesho, Mwandishi wa sms hiyo liandika:

"Baba na wanae wanachinja beberu la mbuzi, baba akaondoa "p.u..bu".za beberu, akaweka pembeni, mara mbwa akaja akachukua zile "pu..bu". Watoto wakamuona wakaanza kumfukuza wakisema kwa sauti kubwa...weeee mbwaa acha "p.u..bu". za baba!!!! akauliza, Je, ungekuwa wewe ndio baba ungesemaje???

Moyoni niliwaza nani huyu amenitumia sms hii? nilifanya hivyo kwa kuwa ilikuja kwa namba tu bila ya jina la mtumaji. Ikanilaazimu kuuliza, nikaandika . I see, imetulia, lakini nani mwenzangu? nikajibuwa:

"We shem kumbe umepoteza namba yangu? haya bwana, lakini mimi ni mkeo ..."S" (akataja jina). Kwa kweli sikutegemea,ujumbe ule ukatoka kwa mwanamke unaemheshimu kama huyo shemeji yangu. nikamjibu tu "duh, sorry, nimepitiwa tu, tupo pamoja.....

Toka hapo akaanza kunitumia sms nyingi nyingi, mara ananisalimu mara za vichekesho mbalimbali. Kwa kuhofia pekupeku za ma mamsapu wangu kwenye simu, sms zote anazotuma za hovyo hivyo nimekua nafuta.

Leo amenitumia ambayo nimeshindwa kabisa kumwelewa, hii ni ya matusi ya nguoni, sitaweza kuyaanika hapa kama yalivyo, lakini ameandika:

" Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani, mfanyakzi bora kwa mwaka 2012 ni (akataja kiungo cha uzaji cha mwanaume), akaendelea ....hakuna kiungo kivumili kama (.......... )kiungo hiki kina kaa katika mazingira magumu, yenye giza na joto, kina weza kutumika popote, kwnye harufu, matope.....lakini hakilipwi...........

kaandika mengiiiiii lakini mwishoni kauliza, Je wewe mwenzangu unajali vipi (akataja) yako? unaonaje ukiipa zawadi siku ya leo kwa kuipatia (akataja kiungo cha uzazi cha kike) tofauti na iliyozoa?.

Nimesoma ujumbe huu zaidi ya mara 3 na Nimebaki mdomo wazi!! Duh, sikumtarajia!!,
 
Mimi nafikiri shemeji yako ana tatizo na anahitaji msaada ila hajapata wa kumfunulia tatizo lake na kama mkiendelea kuchat huenda akafunguka.

Unaweza kuta mshkaji wako amepunguza uwajibikaji ktk mambo ya ndoa hivyo shemeji kazidiwa na hamna wa kummalizia kiu yake ambaye yuko karibu zaidi yako wewe.

Sasa! Tafuta namna umchape mara moja tu. Nasisitiza mara moja tu. Wakati ukigonga, mdodose tatizo ni nini alafu kama ni jamaa....uje utafute namna nzuri na yenye busara kumfikishia mshkaji ujumbe. Unaweza hata kujifanya wewe ulikua na tatizo kama hilo la kwake na ni kwa jinsi gani ulikua ukimkera mkeo.

Jamaa anaweza kufunguka kuwa na yeye ana tatizo hilo pia au akauchukua ujumbe kimyakimya na kujirekebisha. Tena mpe namna ulivyofanya kutatua hilo tatizo.

Hapo utakua umetenda dhambi takatifu na hauta hukumiwa maana umeokoa ndoa ya mshkaji.

Vinginevyo huyo shemeji atapeleka mzigo nje kwa mtu msie mfaham alafu kakawa ndio kamchezo akawa anagombaniwa kama mpira wa kona. Mkitoka nae anatoka kuipeleka, vijana wa kitaa wanairukia kinomanoma na mwisho wa siku waje kumgeuza kabisa....si unajua vijana wasivyo na simile watatest kila kitu.

Hapo utakua hujamsaidia mshkaj na pia wewe nawe utadharaulika kwa kutomshauri rafiki yako na mbaya zaidi kikisanuka jamaa anaweza hisi hata wewe utakua umegonga pia.

Bora lawama kuliko fedheha, chukua hatua. Chapa mzigo ila Mara Moja Tu!
 
Mpe namba yangu awe ananitumia na mimi tufurahi wote.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

duuuu wewe o'lee una mambo man,ile kusoma tu changio lako nimejikuta nacheka mbaya yan,kweli jf raha jaman.eti tuwe tunafurahi wote
 
Duh. Aisee we chiboko!

Mimi nafikiri shemeji yako ana tatizo na anahitaji msaada ila hajapata wa kumfunulia tatizo lake na kama mkiendelea kuchat huenda akafunguka.

Unaweza kuta mshkaji wako amepunguza uwajibikaji ktk mambo ya ndoa hivyo shemeji kazidiwa na hamna wa kummalizia kiu yake ambaye yuko karibu zaidi yako wewe.

Sasa! Tafuta namna umchape mara moja tu. Nasisitiza mara moja tu. Wakati ukigonga, mdodose tatizo ni nini alafu kama ni jamaa....uje utafute namna nzuri na yenye busara kumfikishia mshkaji ujumbe. Unaweza hata kujifanya wewe ulikua na tatizo kama hilo la kwake na ni kwa jinsi gani ulikua ukimkera mkeo.

Jamaa anaweza kufunguka kuwa na yeye ana tatizo hilo pia au akauchukua ujumbe kimyakimya na kujirekebisha. Tena mpe namna ulivyofanya kutatua hilo tatizo.

Hapo utakua umetenda dhambi takatifu na hauta hukumiwa maana umeokoa ndoa ya mshkaji.

Vinginevyo huyo shemeji atapeleka mzigo nje kwa mtu msie mfaham alafu kakawa ndio kamchezo akawa anagombaniwa kama mpira wa kona. Mkitoka nae anatoka kuipeleka, vijana wa kitaa wanairukia kinomanoma na mwisho wa siku waje kumgeuza kabisa....si unajua vijana wasivyo na simile watatest kila kitu.

Hapo utakua hujamsaidia mshkaj na pia wewe nawe utadharaulika kwa kutomshauri rafiki yako na mbaya zaidi kikisanuka jamaa anaweza hisi hata wewe utakua umegonga pia.

Bora lawama kuliko fedheha, chukua hatua. Chapa mzigo ila Mara Moja Tu!
 
Iliwahi kunitokea miaka ya nyuma sana lakini. Nilikuwa naishi M'nyamala kwa uncle wangu.Nyumba ya familia ya goalkeeper moja maarufu.
Sasa mke wa kipa huyo,ingawa ye na mumewe walihama nyumba ya familia,alikuwa akija na mawifi,na hata mama mkwe wake,walikuwa wakija kuangalia TV. Na kuna nyakati nyumba nzima nilikuwa nashinda peke yangu. Sasa
Mke wa jamaa alikuwa anatoka kwa mumewe anakuja na mikanda kuangalia. Si siku moja akaleta mkanda wa ngono! Nikamwangalia na urembo wake,ilikuwa ngumu lakini nilimtolea nje.
 
Mwanzoni ulikuwa na namba yake yenye jina. Ila baadaye ikabadilika ghafla ikaja SMS bila jina ukauliza yeye ni nani akajibu kuwa ni yuleyule. Unaonaje ukitumia mtu mwingine apige hiyo namba ujue ni nani hasa anaitumia kukuletea messages za mapenzi?
 
Back
Top Bottom