Mwambie hupendi msg za matusi, simple and clear!kwani hili nalo linahitaji masters?
Hivi kwanini nyinyi wanaume mnakuwa wagumu kumwambia mtu stop kutuma sms za kipuuzi, nashangaa sana hata mume wangu utakuta sms za ajabu katumiwa na mijanajike isiyo na haya nae hamwambiii. Huo ni ujinga na kukaribisha majaribu ya shetani. Mchane live kuwa aache tabia za kishenzi.
Mkuu naungana na wewe. Ningemwambia kwa heshima iliyipo baina yangu na rafiki yangu tafadhali usinitumie msg kama hizi, zinanikwaza!