Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

Shemeji?!nimebaki mdomo wazi!

Ili asikuone namna gani vip
mwambie mai wafu wako kazibamba sms
na limetokea balaa na umelituliza kiaina, so
askutumie tena hizo sma.

NB, haya maneno usitume kwa sms, mpigie au umwine laivu

sms ni ushaidi wa kifungo cha maisha!!!!!!!!
 
Ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini,chukua hatua
 
Nakumbuka kuna jamaa alilamba mke wa mtu kupitia hizo message,sasa ndugu yangu usipokaa mbali utanaswa tu na huyo ibilisi
 
..
"We shem kumbe umepoteza namba yangu? haya bwana, lakini mimi ni mkeo ..."S" (akataja jina)..
Hee...kumbe mke wa rafiki yako ni "mkeo" pia!

.. nikamjibu tu "duh, sorry, nimepitiwa tu, tupo pamoja...
Hayo majibu yako utayajutia siku moja! Btw, mpo pamoja katika lipi? Mimi naona hata wewe umechangia sana yeye kuendelea kukutumia sms hizo. Hatari sana mkuu....ikitokea rafiki yako akaona aina ya sms "mke wenu" anazokutumia itakuwa balaa.
 
Mwenyewe unaona raha kumuentertain akutumie huo -----?
umeona eeeh ! anapeeeeenda,ngoja kisanuke wanakuwaga kama panya aliyelowa watu wa hivi. Acha kuchekea uovu
 
Hee...kumbe mke wa rafiki yako ni "mkeo" pia!

Hayo majibu yako utayajutia siku moja! Btw, mpo pamoja katika lipi? Mimi naona hata wewe umechangia sana yeye kuendelea kukutumia sms hizo. Hatari sana mkuu....ikitokea rafiki yako akaona aina ya sms "mke wenu" anazokutumia itakuwa balaa.

Haaaa mkuu, najua pengine ni jambo la kawaida ktk kutaniana wanawake wengi huwa uwaita shemeji zao "Mume" na hii kwake ilikuwa kawaida tu kuniita hivyo. Kwa hilo la jibu langu nilimaanisha tupo pamoja kama ndugu tu kwani sikuwahi kumdhani kwa lolote nje ya heshima tuliyokuwa nayo. Lakini kwa sms hizi nimeamua kuzifanyia kazi ili kumrejesha kwenye mstari..kuna jamaa yangu hapa mtaani kaniambia yupo ndugu yake alimpasua pasua mkewe kwa sms hizi hizi za vichekesho. Aliikuta kwenye simu yake ikamkera, alipomuuliza mkewe nani anaediliki kumtumia sms kama zile nae ni mke wa mtu akamjibu "my office mate, so what, kwani inaubaya gani" jamaa hasira zikampanda akavunja vunja simu ya mkewe na ugomvi wa mangumi ukaanza..
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kama unaona aibu jinsi gani ya kumwambia aache kukutumia SMS hizo, wewe mtumie SMS hii: ....."Ile sms yako ulonitumia wife wangu kaiona na sasa hapa nyumbani hapatoshi, naomba usinitumie tena sms kwasasa...."
 
kiroho safi, hata wewe unapenda hizo sms. ungekuwa hupend ungeshamwambia aache. unajua kuwa sio fair ndo maana unafuta sms soon ili usikamatwa na mwenzio! mchane huyo raia kiroho safi au TAFUNA CHAPCHAP KIJANJA ATULIE!
 
aaaaaaaaaaaaah huyu anakutafuta ubaya na rafiki yako, ebu mweleze kuwa huko anakoelekea sio, pia akituma hizo sms zake za mapenzi nk ,wewe uwe unazipotezea na kukaa kimya bila kumjibu chochote, mwisho wa siku atacha kabisa kukutumia
 
Uongo tuu wewe ndio unamtumia unaleta story hapa kupima upepo,uhuni utakuuwa acha mke wa mtu ni nta kali utanasa na huchomoki ngoo
 
Mtu wa mhimu zaidi kwako sio huyo dada ni mumewe ambaye ni rafiki yako, mimi nakushauri muonye maana huyo dada atakuletea aibu ya mwaka
 
Ni mke wa rafiki yangu, kwa jinsi nilivyo karibu na jamaa, tunaheshimiana.

Kama kawaida huwa tunatania mara kwa mara, utani wa kawaida.

Kuna hizi sms za vichekesho ambazo baadhi yetu tumekuwa tukitumiana.Wiki iliyopita niliona sms imeingia kwenye simu yangu, nikasoma, ilikuwa ni ya vichekesho, Mwandishi wa sms hiyo liandika:

"Baba na wanae wanachinja beberu la mbuzi, baba akaondoa "p.u..bu".za beberu, akaweka pembeni, mara mbwa akaja akachukua zile "pu..bu". Watoto wakamuona wakaanza kumfukuza wakisema kwa sauti kubwa...weeee mbwaa acha "p.u..bu". za baba!!!! akauliza, Je, ungekuwa wewe ndio baba ungesemaje???

Moyoni niliwaza nani huyu amenitumia sms hii? nilifanya hivyo kwa kuwa ilikuja kwa namba tu bila ya jina la mtumaji. Ikanilaazimu kuuliza, nikaandika . I see, imetulia, lakini nani mwenzangu? nikajibuwa:

"We shem kumbe umepoteza namba yangu? haya bwana, lakini mimi ni mkeo ..."S" (akataja jina). Kwa kweli sikutegemea,ujumbe ule ukatoka kwa mwanamke unaemheshimu kama huyo shemeji yangu. nikamjibu tu "duh, sorry, nimepitiwa tu, tupo pamoja.....

Toka hapo akaanza kunitumia sms nyingi nyingi, mara ananisalimu mara za vichekesho mbalimbali. Kwa kuhofia pekupeku za ma mamsapu wangu kwenye simu, sms zote anazotuma za hovyo hivyo nimekua nafuta.

Leo amenitumia ambayo nimeshindwa kabisa kumwelewa, hii ni ya matusi ya nguoni, sitaweza kuyaanika hapa kama yalivyo, lakini ameandika:

" Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani, mfanyakzi bora kwa mwaka 2012 ni (akataja kiungo cha uzaji cha mwanaume), akaendelea ....hakuna kiungo kivumili kama (.......... )kiungo hiki kina kaa katika mazingira magumu, yenye giza na joto, kina weza kutumika popote, kwnye harufu, matope.....lakini hakilipwi...........

kaandika mengiiiiii lakini mwishoni kauliza, Je wewe mwenzangu unajali vipi (akataja) yako? unaonaje ukiipa zawadi siku ya leo kwa kuipatia (akataja kiungo cha uzazi cha kike) tofauti na iliyozoa?.

Nimesoma ujumbe huu zaidi ya mara 3 na Nimebaki mdomo wazi!! Duh, sikumtarajia!!,

chief ni mwingoni ma challenges za kudeal nazo this 2013,just say no to that habit, mtext umwambie ukweli wote
 
Huyo anataka kukupa hicho kiungo chake cha uzazi kaka. Kama analipa kula tu kama vipi!
 
dah kaka acha mara moja next tym mtajikuta kitandani!heshimu ndoa yako vipi ukikita mkeo ananitumia meseji kama hizo utaridhika?!
 
Mie utani na mashemeji staki kabisa wala mumewangu utani na ndugu zangu staki, sio wivu ila upuuzi Kama huo....
 
huyo rafiki yako hana mke hapo... mimi mwanamke asiyekuwa na hofu na mungu ,au ndoa yake sijui namuonaje kwakweli
 
Back
Top Bottom