Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

Dah some women i don't know what to say,so naive hivi mumewe anaomba tigo na anamfikiria kabisa?Hata Mzabzab hapo juu na uharamia wake amelishangaa hili
 
Mwambie huyo mama AMRUHUSU mumewe kwenda kupandisha UKUTA wanawake wengine kwa fedha ili muradi awe anatumia Kinga yaani SEMkondom. Ila huyo jamaa nina wasiwasi AMESHAKUWA SHOGA ila hajajitambua tu.

Si awe anakwenda Zanzibar kimya kimya na kurudi? Sasa akishamuharibu Mkewe, si bado atatafuta sehemu nyingine kwa kisingizo kuwa huyo au hao wapya Inabana sana?

All in all, huyo dada kashapoteza MUME ila hataki tu kukubali.

Hahahaaa, ama kweli tumeingia kwenye Sodoma na Gomora maana huko hata MALAIKA waliwindwa ili Washikishwe ukuta kama Nape na Mwigulu walivyowatisha Vijana wa Mwanza kuwashikisha ukuta. DAMN!!!!! Pekecha Pekecha mwana wane.

Kapuya4.jpg

kitu zero distance, ooh!
 
Hizi kesi zinakuwa nyingi mnoo siku hizi nazani ndio dalili za siku za mwisho.
 
Tumia ujanja. Siku mkiwa wote, (yaani wewe na mkeo na yeye na mke wake) anzisha story ya kutunga ukifanya kama kazini kwenu kuna mtu amekimbiwa na mkewe kwa sababu mwanamke amechoka kuliwa tigo. Sasa angalia wataichangia vipi hao wenzio watatu. Alafu jitahidi muweze kuzungumzia madhara ya hilo tendo kinyume na maumbile. Alafu wewe sisitiza kabisa kuwa hata iwe vipi hautamwomba mkeo, yeye muhusika atakuwa anakusikiliza sana, hata akizuga vipi ujumbe utakuwa umefika. Sasa, huyo mke wake atakupa matokeo, kama jamaa amekoma au la. Kama hajakoma huyo mwanamke amwambie nakusemea kwa rafiki yako ambaye ni wewe na mkeo. Na akija kusema hakikisha upo na mkeo ili siku mnamwekea kikao muwe wote wanne pamoja. Natumai umenielewa.
mkuu mwanamke keshamuonjesha jamaa hapo vita imekuwa kubwa bora asingeonja lakini kumbuka zeze hapewi ---- anapewa mjanja
 
Hizi kesi zinakuwa nyingi mnoo siku hizi nazani ndio dalili za siku za mwisho.

Yeah ndugu yangu hizi kesi zinakuwa nyingi na watu kweli wnawachapa tigo wakezo na mademu zao pia ,kwa sababu wanawake wameshapeana sumu kuwa hiyo ni dawa ya kumfanya mume asitoke nje,pili baadhii huwa wanajaribu kuona kwamba ni kitu gani hasa kinachowafanya watu kuiongelea sana 0713 na wakisha jaribu basi hunasa hukohuko.
Kundi lingine ni la wale wanaojaribu na kuona kuwa hakuna lolote hawa baade hurudi katika hali kawaida.
Naomba nikuuilize swali je wewe sio miongoni mwa wale wanaotaka kujaribu lau siku moja ...cheki majibu yao

RESEARCH zinasema kuwa kila penye wanawake wanne waliokwisha fanya tendo la ndoa mmoja amefanya/au anhamu ya kujaribu tendo kinyume na maumbile (aka 0713).Sasa kwanini tusimrudie mungu au hatuamini????????
 
Hili jambo ukisema ufuate ushauri hapa ni ngumu sana..kwa sababu inavyoonekana huko 'majumbani' hili jambo linafanyika. Na bahati mbaya wanaokemea ndo wahusika wakubwa. Mwambie shemeji yako kama yuko 'serious' alipeleke kwa wazazi (na amwambie kabisa mumewe kuwa naenda kukusemea kwa wazazi). Kitendo cha kukuambia wewe bado nakiona kama 'anasikilizia' cuz ni kama anatafuta 'justification' na hapa ndipo naungana na The Boss... What if ukimshauri ampe mumewe tigo unadhani ataendelea kushikilia msimamo wake??....
 
Last edited by a moderator:
Ila mh usione watu wanapendeza mitaani ...nyumba zimeficha Mengi!

Mwambie amwambie mumewe kwamba "kwa jambo hili lilipofikia, nadhani pepo mbaya ametuingilia,ni muhimu tukawaone viongozi wa dini tupate ufumbuzi kwenye hili".najua jamaa atachimba mkwara ila wife asisitize tu kwa kusema "hapa hakuna mjadala ni viongozi wa dini ndiyo suluhisho la pepo hili baya".mume mcha mungu ataona sasa hii siri inataka kumtokea puani.

Inawezekana huyu jamaa kaonja mahali mchezo huu na anaogopa kurudi huko, na kwa kuwa ali-enjoy anataka kuendeleza kwa mke wake.
au kule kwa kawaida hakumbani kiasi cha kutosha, maana kuzaa watoto wengi mfululizo kunaweza kukawa kumelegeza njia mzee hapati stimu, anatafuta kunakobana.
December ni juzi tu,kama zamani alikuwa anafurahia hili tendo kumetokea nini tena? na nani aliyempa wazo la kuonja huko kwingine, au wife alidanganywa na shoga zake akamuonjesha jamaa na matokeo yake jamaa kadumisha upendo kupitia mlango mwingine.Lazima kuna chanzo hapa.Hizi movie za kizungu nazo.
Hakuna siri tena ndani ya nyumba hii. Hata wewe mwenyewe umeshamdharau jamaa
 
Nyama laini isiyo na mfupa ni tamu,
Kama anasema alihisi maumivu basi hawakutumia K-Y Jelly,,,maanake hayo mafuta sio mchezo yaan hta ukipaka kwenye pua Dushele inapita
 
I dont know what has come upon human race, hata wanyama hawalani tigo ni binadamu tu.
Man is the most destructive creature ever created
 
Hili kweli tatizo, mtoa thread anasema wana hofu ya dini, dini gani hiyo na Mungu yupi huyo wanayemuhofu lakini mume anataka kutenda maovu ya hivyo.

Huyu bwana atakuwa mzinzi na katika kuteleza hizo zinaa zake nje ya ndoa alishaonjeshwa Tigo na vimada wa mtaani sasa anataka na mke naye atoe.
 
Simple... Yeye aendelee kukataa hadi siku mumewe atakapochukua 'hatua'. Then kutokana na nature ya hatua alizochukua mume then utakuwa na uwezo wa kumshauri accordingly...
 
Sodoma na gomola inarejea tena kwa kasi ya kutisha, anzani kutengeneza safina, maana gharika kuu laja hivi punde!
 
Siku zote nilikuwa nayasikia tu ...leo nimelazimika kulikabili kwa maumivu na mshtuko!
Nimebahatika kuwa ni mtu ninaye aminika sana kwa watu ,mara nyingi watu huniambia mabo yao ya ndani kwa kutaka ushauri! Wakati mwingien huwa naona kuwa wananipa nisichostahili ki vile! Lakini ndivyo ilivyo!
Hili naandika humu nikiamini kuwa wahusika sio member wa hapa ,inawezekana mume huwa anaingia lakini siamini kama atajua kuwa anazungumzuiwa yeye kutokana na jinsi mkewe alivyo !
Ni hivi
Nina marafiki [mume na mke ] ambao tumeshibana sana[mimi na wife].Nwatu ambao kwa mtazamo wajuu huwezi amini kuwa wanaweza kuwa na mikwaruzano migumu ya kutushia uhai wa ndoa ! ni watu wenye hofu ya Mungu na wanaipenda dini....ni waaumin wazuri!
Leo shemeji amenipigia simu kuomba ruhusa ya kuja ofisini kwangu kwa mazungumzo, nilpata na hofu kidogo ila nilikubali!
Alikuja kunieleza /kuomba ushauri kuhusu tabia ya mume wake kutaka mapenzi kinyume cha maumbile! kama mnavyoitaga humu!
Anasema alianza tabia hii tangu Disemba mwaka jana! na ameendelea kusisitiza kuwa hajisikii kufanya kwa njaia ya kawaida!
Sasa mke amechanganyikiwa kuwa afanye nini na nampenda mume wake kwa dhati! Ameeleza jee akikata nini kitatokea akikubali ataharibu mwili wake na nafsi yake!
Lakini kwa maelezo yake inawezekana siku moja alimpa kwani alisema ni maumivu makubwa!
Pamoja na ujanja wangu wote wa kuwashauri watu leo nilikwama!
Nilichofanya ni kumwambia aendelee kumsihi mume wake kuwa hiyo ni DHAMBI,IMMORAL,HAJISIKII !
sina mwingien wa kushea naye zaidi ya jamii Forum!
Mke wangu sithubutu kumsimulia kwani atajisikia vibaya akimwona jamaa!
Alishauri nikaongee na mume wake nikwambia sitaweza kwani sijui atalipokeaje na hayo ni mabo ya ndani sana.
Jamani naomba ushauri wenu
Ila mh usione watu wanapendeza mitaani ...nyumba zimeficha Mengi!

huyo shemeji ni mpuuzi kweli

siri za ndani anapeleka nje?
 
Hapo ndo wanawake wanaponiacha hoooii kabisa

amekuamini vipi wewe?
what if wewe ndo ungekuwa mchezo wako kwa mkeo?
ungemshauri nini?

Vitu vingine bora kwenda kwa washauri wa ndoa professional...

what if wewe utamueleza mwingine na mwingine? which i am sure you will..

and that has been my concern... what if hata jamaa naye anakula huyohuyo shemeji??

some people bwana!!!
 
asikubali huo ujinga pia ni dhambi kubwa
awe mkali kwa mumewe endapo ataendele
awaone wazee na washenga!bora ndoa ife kuliko kudhalilisha
utu wake daaah!wanaume mtasababisha sodoma na gomora
4 da second tym!

 
makubwa! badala ya kumwambia mkeo amshauri anakuja kukwambia wewe??kuna kitu hapa! bora ungesema hamfahamu mkeo lakini kama anawafahamu nyote na ni marafiki as you said angepaswa kuongea na mkeo sio wewe!loh wanawake wengine sijui vipi?
 
Back
Top Bottom