Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

Nimekukubali mkuu, Kyalosangi chukua hii
Tumia ujanja. Siku mkiwa
wote, (yaani wewe na mkeo na yeye na mke wake) anzisha story ya kutunga
ukifanya kama kazini kwenu kuna mtu amekimbiwa na mkewe kwa sababu
mwanamke amechoka kuliwa tigo. Sasa angalia wataichangia vipi hao wenzio
watatu. Alafu jitahidi muweze kuzungumzia madhara ya hilo tendo kinyume
na maumbile. Alafu wewe sisitiza kabisa kuwa hata iwe vipi hautamwomba
mkeo, yeye muhusika atakuwa anakusikiliza sana, hata akizuga vipi ujumbe
utakuwa umefika. Sasa, huyo mke wake atakupa matokeo, kama jamaa
amekoma au la. Kama hajakoma huyo mwanamke amwambie nakusemea kwa rafiki
yako ambaye ni wewe na mkeo. Na akija kusema hakikisha upo na mkeo ili
siku mnamwekea kikao muwe wote wanne pamoja. Natumai umenielewa.
 
Bonge la idea, tunawahtaj sana watu kama nyie humu jf, mimi namshauri mtoa mada alichukue hili.
 
Mwambie huyo mama AMRUHUSU mumewe kwenda kupandisha UKUTA wanawake wengine kwa fedha ili muradi awe anatumia Kinga yaani SEMkondom. Ila huyo jamaa nina wasiwasi AMESHAKUWA SHOGA ila hajajitambua tu.

Si awe anakwenda Zanzibar kimya kimya na kurudi? Sasa akishamuharibu Mkewe, si bado atatafuta sehemu nyingine kwa kisingizo kuwa huyo au hao wapya Inabana sana?

All in all, huyo dada kashapoteza MUME ila hataki tu kukubali.

Hahahaaa, ama kweli tumeingia kwenye Sodoma na Gomora maana huko hata MALAIKA waliwindwa ili Washikishwe ukuta kama Nape na Mwigulu walivyowatisha Vijana wa Mwanza kuwashikisha ukuta. DAMN!!!!! Pekecha Pekecha mwana wane.

Kapuya4.jpg

Fundi mwenzangu, huyu shetani hajaingia kwa wanadamu tu......

attachment.php
 
Hapo ndo wanawake wanaponiacha hoooii kabisa

amekuamini vipi wewe?
what if wewe ndo ungekuwa mchezo wako kwa mkeo?
ungemshauri nini?

Vitu vingine bora kwenda kwa washauri wa ndoa professional...

what if wewe utamueleza mwingine na mwingine? which i am sure you will..

Hahahaha The boss shikamoo kaka mkubwa
 
this one is perfekt
Tumia ujanja. Siku mkiwa wote, (yaani wewe na mkeo na yeye na mke wake) anzisha story ya kutunga ukifanya kama kazini kwenu kuna mtu amekimbiwa na mkewe kwa sababu mwanamke amechoka kuliwa tigo. Sasa angalia wataichangia vipi hao wenzio watatu. Alafu jitahidi muweze kuzungumzia madhara ya hilo tendo kinyume na maumbile. Alafu wewe sisitiza kabisa kuwa hata iwe vipi hautamwomba mkeo, yeye muhusika atakuwa anakusikiliza sana, hata akizuga vipi ujumbe utakuwa umefika. Sasa, huyo mke wake atakupa matokeo, kama jamaa amekoma au la. Kama hajakoma huyo mwanamke amwambie nakusemea kwa rafiki yako ambaye ni wewe na mkeo. Na akija kusema hakikisha upo na mkeo ili siku mnamwekea kikao muwe wote wanne pamoja. Natumai umenielewa.
 
Amjie juu tena kwa kumtishia kuwa iwapo ataendelea na huo UCHAFU anaoung'ang'ania atamshtaki kwa kiongoz wa dini au wazazi wote wa pande 2.


Sent from my BlackBerry 9530 using JamiiForums

Sio kwa kumtishia tu bali awe anamaanisha kuwa atamshitaki, huu UFIRAUNI sijui utaisha lini
 
Siku zote nilikuwa nayasikia tu ...leo nimelazimika kulikabili kwa maumivu na mshtuko!
Nimebahatika kuwa ni mtu ninaye aminika sana kwa watu ,mara nyingi watu huniambia mabo yao ya ndani kwa kutaka ushauri! Wakati mwingien huwa naona kuwa wananipa nisichostahili ki vile! Lakini ndivyo ilivyo!
Hili naandika humu nikiamini kuwa wahusika sio member wa hapa ,inawezekana mume huwa anaingia lakini siamini kama atajua kuwa anazungumzuiwa yeye kutokana na jinsi mkewe alivyo !
Ni hivi
Nina marafiki [mume na mke ] ambao tumeshibana sana[mimi na wife].Nwatu ambao kwa mtazamo wajuu huwezi amini kuwa wanaweza kuwa na mikwaruzano migumu ya kutushia uhai wa ndoa ! ni watu wenye hofu ya Mungu na wanaipenda dini....ni waaumin wazuri!
Leo shemeji amenipigia simu kuomba ruhusa ya kuja ofisini kwangu kwa mazungumzo, nilpata na hofu kidogo ila nilikubali!
Alikuja kunieleza /kuomba ushauri kuhusu tabia ya mume wake kutaka mapenzi kinyume cha maumbile! kama mnavyoitaga humu!
Anasema alianza tabia hii tangu Disemba mwaka jana! na ameendelea kusisitiza kuwa hajisikii kufanya kwa njaia ya kawaida!
Sasa mke amechanganyikiwa kuwa afanye nini na nampenda mume wake kwa dhati! Ameeleza jee akikata nini kitatokea akikubali ataharibu mwili wake na nafsi yake!
Lakini kwa maelezo yake inawezekana siku moja alimpa kwani alisema ni maumivu makubwa!
Pamoja na ujanja wangu wote wa kuwashauri watu leo nilikwama!
Nilichofanya ni kumwambia aendelee kumsihi mume wake kuwa hiyo ni DHAMBI,IMMORAL,HAJISIKII !
sina mwingien wa kushea naye zaidi ya jamii Forum!
Mke wangu sithubutu kumsimulia kwani atajisikia vibaya akimwona jamaa!
Alishauri nikaongee na mume wake nikwambia sitaweza kwani sijui atalipokeaje na hayo ni mabo ya ndani sana.
Jamani naomba ushauri wenu
Ila mh usione watu wanapendeza mitaani ...nyumba zimeficha Mengi!

Yamemkuta eeeh eeh!!! Mwambie avumilie ndio ndoa hiyo. Mwambie huyo mwanamke alinganishe 0712 na bomba linalopeleka maji machafu baharini. Kwa hiyo asishtuke sana. Wanawake wengi wanaficha siri. Lakini haya mambo ya kubinjuliwa 0715 ni ya kawaida sana.
 
kama anasema kuna maumivu je alickia au ndo kama umesema kashampa? ila jamani binadamu kwanini tunapenda kuiga? heshima ya ndoa ipo wapi? unamfanya mkeo kama mwanamke wa barabarani (popo)? ok akawaone viongozi wa dini na wazazi wa mwanaume labda ndo waliomfundisha. ila huyo mumewe si aende yale maeneo mbona hizo zipo na zimeshuka bei siku hizi? hata buku 10 mpk 6 unapiga ila inategemea na eneo utakalotaka huduma hiyo na ubora wake.
 
Unajua mimi namhusudu sana Kaka Juma kwenye mambo ya Ngoma. Walau hafichi Hobby yake na anafanya hadharani na siyo wanaofanya wamejificha ila wanafanya zaidi ya huyu Kapuya.

Angelikuwa ni Mchapa kazi kwa wananchi basi angelikuwa Mbunge poa sana.
He Mungu wangu!!

Huyu si ni mbunge wangu wa Urambo magharibi/Kaliua?? Duh! Fedheha gani hii jamani??
 
Hiki Kimbwa inabidi kuwapa Wahehe. Chris Lukosi na akina Mjengwa ndiyo wanajua kuwatia mbwa adabu.
Fundi mwenzangu, huyu shetani hajaingia kwa wanadamu tu......

attachment.php
 
Tatizo watu wengi hawajui ndoa ni nini ila wanajidanganya kuwa wanajua. Pia wengi wanajidanganya kuwa wanajua maana ya love lakini ukweli ni kuwa watu wengi walio kwenye ndoa au mahusiano ya kingono hawajui tafsiri halisi ya neno love. Kifupi, ndoa ni taasisi iliyobarikiwa na Mungu mwenyewe, hivyo ndoa ni takatifu na ameamuru ndia na iheshimiwe na watu wote ndio maana hata serikali inaheshimu ndoa. Hivyo jambo lolote linafanyika ndani ya ndoa linalopingana na maagizo ya The most High, huibatilisha ndoa hiyo maana ni ibada ya kishetani kusex anal.
Pia, tafsiri rahisi ya upendo au love ni KUCHAGUA KUMTENDEA MEMA MTU MWINGINE kwa utashi na maamuzi huru. Ikiwa mtu atamtendea mwenzake jambo linalomdhuru mwili, akili au hisia zake, basi hawezi kujustify kuws anampenda mtu huyo.
Kwa maneno mengine, huyo jamaa anayemuomba mke (mke anastahili heshima, upendo, huruma na ukarimu) basi hampendi mke wake na pia kufanya hivyo kunaifanya ndoa isiwe takatifu, ila inakuwa takataka.
Kwa ushauri wangu, hiyo ndoa inahitaji review na review hiyo iwahusishe wenye hekima na kibali mbele za Mungu mwenye nguvu, vinginevyo ipo hatari ndoa ikalindwa at the cost of anal sex.
 
Hiyo kawaida tu ila huwa wake wengi hawasemi...
Ampe tu na maisha yatasonga mbele. Huyo mume kishaonjeshwa mtaani sasa kishakuwa kama simba aliyeonja nyama ya binadamu, haachi mpaka auliwe.
 
Back
Top Bottom