Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

Shemeji, ndugu yako anataka kunigeuza!

Tumia ujanja. Siku mkiwa wote, (yaani wewe na mkeo na yeye na mke wake) anzisha story ya kutunga ukifanya kama kazini kwenu kuna mtu amekimbiwa na mkewe kwa sababu mwanamke amechoka kuliwa tigo. Sasa angalia wataichangia vipi hao wenzio watatu. Alafu jitahidi muweze kuzungumzia madhara ya hilo tendo kinyume na maumbile. Alafu wewe sisitiza kabisa kuwa hata iwe vipi hautamwomba mkeo, yeye muhusika atakuwa anakusikiliza sana, hata akizuga vipi ujumbe utakuwa umefika. Sasa, huyo mke wake atakupa matokeo, kama jamaa amekoma au la. Kama hajakoma huyo mwanamke amwambie nakusemea kwa rafiki yako ambaye ni wewe na mkeo. Na akija kusema hakikisha upo na mkeo ili siku mnamwekea kikao muwe wote wanne pamoja. Natumai umenielewa.
inaweza isisaidie,ili ndani ya nafsi yake atajisikia vibaya,huyohuyo muomba tigo,anaweza akawa mstari wa mbele kukandia mbele yako na mke wako ili aonekane msafi,wakati yeye ndio anayoyaomba kwa mke wake.
 
Duh hilo jambo ni gumu, ama kweli dunia inakoelekea sijui tu. Huyo mama hapo ajue hana mume na sijui kwanini wanaume wanawadhalilisha wake zao namna hii jamani. Cha msingi hapo ni kumuuliza huyo mama yeye anaamua nini maana tabia mbaya haiondoki kwa ushauri huyo baba hata akiambiwa madhara ya huo mchezo hatoacha sababu inaonekan mchezo huo anaujua na huwa anaufanya mahala flani sasa anaona kwanini na mkewe asimfanyie hivyo.

Nataka nikuambie kua kuwashauri watu wa aina hiyo ni ngumu yapasa tu kumwambia madhara ya huo mchezo huyo mwanamke na umsikilize yeye anaamuaje. Ilishawahi kunitokea nikamshauri mtu amwache mumewe au tuwafanyie kikao cha kuukomesha huo mchezo bwana si mke alinigeuka sina hamu ni story ndefu.
 
kama mzee wake anataka mnato mbona yako mazaoez anaeza fanya na mzee akapenda kuliko kutenda jambo ambalo shetani hulikimbia pindi linapotokea
 
Aende kwa mashaidi wa ndoa yao na kuomba ushauri, wewe nadhani hutoweza kumshauri zaidi ya hilo ulilomwambia. Pia umakini unatakiwa katika maisha ya sasa na kujiepusha na kuiga tabia ambazo kimsingi si za lazima sana kwa mtu anayejiheshimu na kumheshimu mkewe.
 
Duh hilo jambo ni gumu, ama kweli dunia inakoelekea sijui tu. Huyo mama hapo ajue hana mume na sijui kwanini wanaume wanawadhalilisha wake zao namna hii jamani. Cha msingi hapo ni kumuuliza huyo mama yeye anaamua nini maana tabia mbaya haiondoki kwa ushauri huyo baba hata akiambiwa madhara ya huo mchezo hatoacha sababu inaonekan mchezo huo anaujua na huwa anaufanya mahala flani sasa anaona kwanini na mkewe asimfanyie hivyo.

Nataka nikuambie kua kuwashauri watu wa aina hiyo ni ngumu yapasa tu kumwambia madhara ya huo mchezo huyo mwanamke na umsikilize yeye anaamuaje. Ilishawahi kunitokea nikamshauri mtu amwache mumewe au tuwafanyie kikao cha kuukomesha huo mchezo bwana si mke alinigeuka sina hamu ni story ndefu.

Umeona tatizo hilo hapo sasa kama katika ushauri uliona ni bora waachane na yeye akaja juu basi ujue huyo alikuwa anataka justification ya kumpa mzee mnato au sio bwana.
Tatizo lipo palepale baadhi ya wanawake wameshadanganyana kuwa tigo ndio dawa pekee ya kumtuliza mume ndani.Sasa ukishamuonjesha unakuja tena kwenye jamvi oo nilimpa siku moja lakini ni maumivu makali sasa hujui kuwa kuna dawa nyingine ni chungu lakini watu wanakunywa ili wapone!!
Hayo maumivu ndo dawa yenyewe ulodanganywa ya kumtuliza mumeo hivyo tafuta vilainisho ili mzee atulie>>
Pumbafu zenu mnaobeba maushauri bila kuyapima!!!!!
Mrudieni mungu jamani kesho ipo karibuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh hilo jambo ni gumu, ama kweli dunia inakoelekea sijui tu. Huyo mama hapo ajue hana mume na sijui kwanini wanaume wanawadhalilisha wake zao namna hii jamani. Cha msingi hapo ni kumuuliza huyo mama yeye anaamua nini maana tabia mbaya haiondoki kwa ushauri huyo baba hata akiambiwa madhara ya huo mchezo hatoacha sababu inaonekan mchezo huo anaujua na huwa anaufanya mahala flani sasa anaona kwanini na mkewe asimfanyie hivyo.

Nataka nikuambie kua kuwashauri watu wa aina hiyo ni ngumu yapasa tu kumwambia madhara ya huo mchezo huyo mwanamke na umsikilize yeye anaamuaje. Ilishawahi kunitokea nikamshauri mtu amwache mumewe au tuwafanyie kikao cha kuukomesha huo mchezo bwana si mke alinigeuka sina hamu ni story ndefu.

wapendanao ata siku moja usiwaambie waachane....wee waambie kaeni pomoja tuu. kwa sababu hata siku moja hawatakwambia kila kitu kilichotokea ndani ya nyumba yao.
 
mmh! kweli yale ya sodoma na gomora yanajirudia sasa, kwanini binadamu wanakuwa hivi? huo ushenzi hata wanyama wenyewe hawafanyi, ok hapo ni kwamba huyo jamaa utakuwa ndio mtindo wake yaani atakuwa ako kamtindo kakaanza siku nyingi sasa kanogewa ndo maana kaja kwako wewe. hapo tatizo ni kwamba;

1. akimkatalia ujue huyo mwanaume ataendelea na huo mchezo nje ya ndoa

2.akimkubalia madhara ni kwa huyo mke na ni kitu ambacho ni immoral na zambi kubwa kwa mungu

ushauri wangu ni kuwa hapo hana mume tena yeye aangalie ustarabu wake na kwamba kamwe asikubali kufanyiwa huo ufirauni ni bora ndo ifunjike.
 
Nyama laini isiyo na mfupa ni tamu,
Kama anasema alihisi maumivu basi hawakutumia K-Y Jelly,,,maanake hayo mafuta sio mchezo yaan hta ukipaka kwenye pua Dushele inapita

Umelaaniwa wewe, acha kuhimiza maovu
 
huyo mwanamke alienda kumwambia huyo kaka kwa sababu wanawake wanajijua kua hawana siri laitani mke wa huyo kaka na yeye angalilijua hilo angalianza kukaa na wanawake wenziwe wakaanza umbeya bora alipomwambiya uyo kaka anaweza kumpa ushauri ambao utakua na amani na ndoa yao

huyu mwanamke na jamaa la moja kwanza mleat hoja anasema ilikuwa sili mbona kaleta jf badala ya kumshauri yakaisha anakuja kutafuta sifa jf kwamba huwa anashauri watu mada zingine bwana hovyo.
 
Hii ni simple mwambie huyo mwanamke asingizie ugonjwa wowote unaotokana na psychological torture mfano kuwa na mawazo sana hata kuwewseka na wakati mwingine anakuwa kama anachanganyikiwa hivi, baada ya hapo aende hospital na amwone Dr ambaye ni friendly na amweleze kama alivyokusimulia na kuwa sasa amcounsell mgonjwa na mme wake na kuwa tatizo hilo linatokana na mwanaume kumlzimisha kufanya kinyume na maumbile na linamuembalasy sana sasa aache mawazo hayo na mkewe atapona. Kama yupo mikoa ya nyanda za juu kusini awasiliane nami. Naweza msaidia all the best
 
hapana mimi ! Sitamweleza mtu !
Kuyasema hapa jf nimeutua mzigo huu!
Afu the boss ni wapi wanapatikana washauri wa ndoa hapa tz [tena umesisitiza professional!

Dugu
Umesema lafiki yako ni mtu mpenda dini. Kama unampenda rafiki yako aendane na maadili mema ya dini yake inakupasa umkabili tu na kumwambia, blaza..vipi wewe?
Habari ziko mtaani kuwa unatumia mtandao wa simu ule mungu amekataza...kama wewe huna tabia hiyo pia.

Vyenginevyo ni bora, umwachie ababe "msalaba wake".

Au tengeneza e-mail adress mpya kwa ajili ya kumfikishia ujumbe na onyo tu rafiki yako.
Andika hivi: Ndugu mpendwa (jina lake)Mungu anakuamrisha kuacha kula tigo, ujiheshimu na ummheshimu mke wako.
Mungu amenituma nikufikishie huu ujumbe, yatakayokupata baada ya kuusoma ujumbe huu kutokana na kukaidi amri ya Mungu...hakutakuwa na wa kukuliwaza. Tubu dhambi ya kula tigo na usirudie.
Mtumishi wa Mungu.
 
Kazi ipo. Yaani yeye wakati watu wanasimuliana habari za hiyo makitu alikuwa hajaandaa jibu lake? Manake mie siku naombwa tu jibu nnalo kwenye tip ya ulimi wala silifikirii.
 
kiukweli walimwengu tunaelekea kubaya sana, kwa nini leo mambo ambayo zamani yaliogopwa leo tunayafanya ya kawaida nakuwa sehemu ya maisha yetu, mwanaume tena uliyeko kwenye ndoa unapta wapi uthubutu wa kutaka kushiriki ngono kinyume na maumbile kwa mkeo tena mama wa watoto wako,kwa nini staha imepotea katika jamii ya leo, kwa nini hofu ya mungu hatukonayo tena, tunadanganyana mwisho wake tunaibukia katika matatizo makubwa, kumbuka ukijulikana unatabia hiyo jamii yako itakuchukulije? na wew utajisikiaje, huyo jamaa kama ulivo sema inakuwa ngumu sana kumuingia kwani ikifanyika kwa pupa italeta madhala makubwa upande wa pili ikiwemo mtafaluku katika ndoa hivyo, naunga mkono hoja ya mdau aliyesema tumia moja ya makutano yenu mkiwepo wote wewe na mkeo na yeye na mke wake kuingiza mada hii kwa tahadhali kubwa sana, pia kama sahemu ya jamii unayo nafasi kubwa hata kama ni mfanyakazi hii ni changamoto iliyopo sasa katika jamii iombe ofisi yako au kama unaweza hata kuandaa moja ya kongamano litakalowakutanisha hata wafanyakzi wenzenu na yeye apewe nafasi ya kuudhulia, mada iandaliwe juu ya jambo hili, nina imani kubwa kama itafanikiwa atatoka na majibu sahihi na atabadilika, jamani kwa yeyote mwenye nafasi aitumie kuelimisha jamii juu ya mapenz kinyume na maumbile ili kulinda jamii na tatizo hili.
 
Hayo ndo mambo ya DIGITAL. extreme + kabang ndo mpango mzima.Ampe tu jamaa,atabaki analogy mpaka lini? Haya ndo mambo ya utandawazi,aache ushamba huyo sister.
 
Huyo mme hana hofu hata kidogo thats why alitoka nje ya ndoa na kukutana na hilo litigo then akaona ni vyema awe analipata toka kwa mkewe but inasikitisha sana. Mwambie mwanamke adai talaka yake vinginevyo akubali choo chake kiwekewe dushelee
 
Kazi ipo. Yaani yeye wakati watu wanasimuliana habari za hiyo makitu alikuwa hajaandaa jibu lake? Manake mie siku naombwa tu jibu nnalo kwenye tip ya ulimi wala silifikirii.

Ndo maana nakupenda. . .
 
Back
Top Bottom