Shemeji ananitaka

Shemeji ananitaka

Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.

Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.

Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.

Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.

Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
yani umeanza vizuri then unamaliza kwa kusema wanaume hamna haya? haya utaendelea kutongozwa mpaka utoe utelezi 😎 😎 😎
 
Yataje tuone
Ni mwajiriwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Nina mshahara mkubwa tu wa kukulisha na kukutunza pasina kukopa .
Sina ndugu tegemezi wa kumendea hela yangu .
Kuhusu usafiri ninayo corolla yenye jina langu la ukoo na pia inaazimwa na wanasiasa wa kata yangu kwaajiri ya kampeni kwa haya najaribu kukuonesha ni jinsi gani ilivyo nzuri .

Nimejenga kwahiyo siishi kwa baba nwenye nyumba .

Nina nyumba mbili za urithi huko Dasalam na mimi ndiye wa kiume na final say usione pombe inanishushia heshima kwa watanzania .

Najipenda sana kuhusu usafi ila udhaifu na pombe na tuvitu fulani ila najua utakuja kunibadilisha .

Niliwahi kuwa na watoto wawili ila nilishanya'nganywa hivyo sina mtoto jua kuwa tunaanza moja kuhesabu vizazi vyetu .

Najihisi kuwa rijali hasa sita kwa sita maana wote niliowapiga vitu wamekiri mimi ni extraordinary man to appear on this earth .

Zaidi na la kufurahisha naingia hata ikulu kwa jina la baba na ninajuana na viongozi wote machawa na wenye akili zao .

Karibu tuijenge future mrembo ,hakika sasa nahitaji kuoa na ni wewe naona tunaendana .

Ninazo sifa nyingi ila sitaki kuzitaja zote maana hapa jamvini wenye wivu ni weng mno
 
Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.

Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.

Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.

Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.

Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Kuna kosa la kiufundi unalolitenda bila kukusudia.

Mapenzi yapo kwenye kundi la sanaa na utamaduni, kwa hiyo hakuna kosa la kisheria wala kinidhamu kutongozana.

Kwanini umlaumu shemeji yako kukutongoza badala ya kumwelimisha tu na maisha yenu ya kila siku yakasonga?

Yaani mtu anayekutamani kwa urembo wako unamwingiza kwenye jinai ya uhalifu, basi utachukia wengi wenye kusorolea huo msura!

Hapo marafiki zako umewafanya maadaui zako bila sababu zenye mashiko.

Kumbe mbinu zangu za kubaka saikolojia za wanawake kimahusiano ni nzuri zunanisaidia, ukiingiza siasa nd'okama hivi, unazuliwa majungu tu!

Wanawake wangapi wasiotongozwa wanashinda kwa waganga kuogeshwa 'nsamba' ili wapendwe watongozwe!

Na swali la kuuliza: ... 'Kwani hakuna wanawake wengine barabarani kaniona mimi tu'... usije kurudia tena kuliuliza kwa sababu halina mantiki katika tasnia ya mapenzi.
Shemeji wa heshima na siyo shemeji wa kibaiolojia, utamtengenezeaje zengwe kubwa namna hiyo?

Ningelikutokea mimi, huenda ishu hii ingelifika Serikali za mitaa baraza la usuluhishi kwa namna nilivyoipima thread hii, lazima kulikuwa na nyodo za kufa mtu jinsi ulivyomtolea nje huyo jamaa.

Sasa kwangu majibu mabaya hunipa chansi ya ushindi na ningelikupata hata kwa jasho na lawama.

Mimi hutumia njia zote, halali na haramu kumpata mwanamke ninayempenda.

Sasa niulize ni mbinu gani huzitumia kunasa mitego yangu?

Labda nikwambie kifupi bila ufafanuzi wa kina kuwa huzitumia njia nne na moja wapo huwa ni lazima inase:
Ya kwanza ni hiyo ya kubembeleza kama aloyotumia huyo jamaa ingawa alijizungusha sana kukutongoza hadi ukapata akili za kumkwepa.

Pili hutumia kuhonga hela kubwa kama mtego.

Mbinu ya tatu ni kukuutengeneza zengwe la kesi ya madai ya kunidhalilisha.

Na mbinu ya nne ni ndumba kabisa.

Sasa zote hizo huna udole wa kuzikwepa ukachomoa, hata ungelikuwa na maadili vipi, lazima moja ingelikunasa tu na sasa tungelikuwa ni wapezi wa wazi wazi ama wa siri, sijawahi kushindwa.
 
Back
Top Bottom