Shemeji ananitaka

Shemeji ananitaka

Unawapa mzigo...
🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️😁😁
 
Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.

Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.

Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.

Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.

Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Wanaume ndo yulivyo kutamani tamani ndo jadi.yetu. Wala usikasirike mweleweshe vizuri kwa upole ataelewa
 
Kawaida iyo jamna jipya apo
 
🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️😁😁
Wakati unagawa mzigo kwa shemeji mimi mwenye mali nitakua nakupiga chabo na kurekodi matukio kwa faida...
 
Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona mpaka sasa wamefikia kama miaka kadhaa ya mahusiano yao.

Huyu mwanaume siyo baba wa mtoto wake, sasa huyu shemeji kuna siku moja alichukua namba yangu nikiwa pale kwa rafiki yangu, yeye rafiki yangu alikuwa jikoni anapika, mimi nilijua kachukua kwa nia nzuri tu awe anakuja ofisini labda kuniungisha.

Sasa tulikuwa tunawasiliana akawa ananiita mke mdogo, mara ananiambia nimzalie mimi namwambia siwezi kufanya hivyo wewe ni shemeji yangu nakuheshimu, anasema kwani kuna ubaya. Mara kuna kipindi anakuja ofisini ananiambia wameachana na rafiki yangu mara warudiane.

Huyu shemeji nimemuona ni mtu wa ajabu sana kwa kitendo cha kunitaka kimapenzi kwani huko kote hajaona wanawake hadi aje kwangu, kwa rafiki wa mtu wake, wanaume hamna haya kabisa.

Mimi sijawahi kumwambia rafiki yangu na nimekata mazoea nao wote wawili, maana rafiki yangu akijua tu nilikuwa nachat na mtu wake atakasirika mno maana ana wivu balaa.
Cc. holoholo
Nomadix
Vipi naye ulichungulia kibamia chake?
 
Mh! Ila wewe kumbe ndiyo upo hivyo, ila mimi usingenipata aisee
Mkuu ogopa sana kujisifia ugumu ama msimamo mkali, ni mwiko kwa mwanamke kujisifia hayo, kwa sababu umeumbwa kutongozwa!

Kujisifia kukataa wanaume ni sawa na mpishi kujisifia kuwadhalilisha wale wenye njaa wansosorolea mlo aliouandaa.

Porini kuna nyati, swala, nyumbu nk nk wenye pembe zenye ncha kali kwa ajili ya kujihami na adui, ulishaona zinawasaidia kuzuia kuliwa?

Sema Jf ya anonymouse hii, ningelikufahamu ningelikutokea na ningelipita na wewe kimzaha sana waalah.

Na siku moja ningelikuhoji vizuri juu ya msimamo wako wakati tayari tushakuwa wapenzi!

Yaani mimi nimshindwe mwanamke, hata kama ni Waziri nikimtaka nampata, atakuja kujitambua nishalala naye.
 
Back
Top Bottom